Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
iache siipendi kila mtu atumie nguvu yake mwenyeweKwa hiyo niiachee??
iache siipendi kila mtu atumie nguvu yake mwenyeweKwa hiyo niiachee??
hahahhhh nilijua tuSio kuimis vileeee
Fanyaga hivyoo
Wewe acha tuu....hahahhhh kwahiyo ulitaka kujirusha
huyo mtu akaoge maji ya bahari tume inaongea hapa aliikimbia ofisini kwake mwaka wake huuHodi humu namuuliza mkuu wa mkoa kipenzi cha watu yupo humu?
Hahahhhh unataka kujiua ghorofa ya ngp tuje tukuone ukijirushaWewe acha tuu....
Niko ghorofa ya 13 hapa..
Kazi anayo aisee. Jukwaa la wahariri walisema hawataandika chochote kumuhusu yeyehuyo mtu akaoge maji ya bahari tume inaongea hapa aliikimbia ofisini kwake mwaka wake huu
na tume imeliongea hilo ajiuzuru tuKazi anayo aisee. Jukwaa la wahariri walisema hawataandika chochote kumuhusu yeye
Mkuu wa kaya kamwambia chapa kazi tu. Wewe unafikiri atafanya hivyo?na tume imeliongea hilo ajiuzuru tu
Karibu sanatumekaribia makapuku
Karibu sanaTumekaribia makapuku
Kwa bashite ataona sawa ila kwa mtu mwenye akili angejiuzuruMkuu wa kaya kamwambia chapa kazi tu. Wewe unafikiri atafanya hivyo?
baby wako yupo humuHello baby I miss younakuja
Ndio basi tena. Akifanya hivyo mtampeleka mahakamani Kwa vyeti feki. Naona kama vike upepo tu maana hii nchi Kwa matukio hatuko nyumaKwa bashite ataona sawa ila kwa mtu mwenye akili angejiuzuru
mda utaongeaNdio basi tena. Akifanya hivyo mtampeleka mahakamani Kwa vyeti feki. Naona kama vike upepo tu maana hii nchi Kwa matukio hatuko nyuma
Yupobaby wako yupo humu
Mimi najiuliza wale waliogushi vyeti je naona walipelekwa mahakamani au bwana huyu?mda utaongea
humu kapukuYupo
Bwana princeMimi najiuliza wale waliogushi vyeti je naona walipelekwa mahakamani au bwana huyu?

Mh! Babu we mbona hivyohumu kapuku