Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
I seeGud kabisa jooh
I seeGud kabisa jooh
Poa..hujambohabari za asubuhi wakuu
Miss ya buddyMorning people I real miss you
Pole shemeji yangu..acha tu shemela kuna dada sijui anajinsia mbili tulikua kwenye uzi wake katusemea tulipewa ban watu wa4 kwenye thread yake
Together ma dudeMiss ya buddy
Umeshakiona kifaa humu?Huko huwa "napasikiaga" tu. Hata kukanyaga naogopa. Hapa ndio huwenda walau pakanifaa.
Niko poa mweka hazina wetuKatibu kiongozi uko poa ??
MoniiiingAmina..
Monring fellas
ah nashukuru munguPoa..hujambo
Huu mwaka mnalo...tutakomaaaaa






Kifungua kinywa hicho unapata ukiwa bado kwa bedNdio chakula chenu hicho watu wa Dar..
Kazi kwelikweli. Mnayo
Family haijamboTogether ma dude
All is well..acha tu shem yule dada atanisababishia ban tena
Tunakimbiza hatareee...Hongera kwa 146k
Hamna lolote watu wa darKifungua kinywa hicho unapata ukiwa bado kwa bed
Kule huwezi mtoa...anaacha vipi mashosti zake..Shukrani, mwambie shunie ahame lile jukwaa LA umbea,tusijempoteza


Hahahahaha!Baada ya kwaresma ndio nitaomba usajili rasmi humu. Maana humu kutengua udhu ni nje nje![]()
Wote wazimaaaaFamily haijambo
Emmyta ni chuga girl aisee! Kama Nifah na na Cute Bkwani emmyta n chuga ukitaja kwa morombo mate yanajaa