Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mkuu wewe endelea kunichafua kwa sakayo tuu...Mtaka yote kwa pupa
![]()
![]()
![]()
![]()


Mkuu wewe endelea kunichafua kwa sakayo tuu...Mtaka yote kwa pupa
![]()
![]()
![]()
![]()


Mke wa mtu mkuu japo wewe sio kunguniMimi wa nchi!
Sema kwa kuwa nakupenda ndo sababu unaona mimi sio nchi hii..
I love you...
Nimeshakaribia nimerudi toka chimbo nakutana na vijana mnaumiza sana kapukuniKaribuu
SpeechlessIt is an absolute human certainty that no one can know his own beauty or perceive a sense of his own worth until it has been reflected back to him in the mirror of another loving, caring human being....
I believe in love at first sight!
Don't take this Crazy..
Inaenda swalama kabaisaZa mimi ni pouwa, weekend inaendaje
Jambo kapuku mchana unaenda poa nadhani kwakoJambo kapuku...
Karibu JerryHodi
Bonjour baba ya kongo mutu mukubwaInaenda swalama kabaisa
Hebu Mwambiee mwaya shemejiMke wa mtu mkuu japo wewe sio kunguni
Wewe kila mtu unamtaka???
Msikilize lee ila changanya na kwako...Shemela bwana
Keep it up...! Keeping firingLive mubashara bila chenga
Basi ni kumshukuru Mungu, mie nimekuja kuwasalimu tuu napitaInaenda swalama kabaisa
Swadakta mkuu!Jambo kapuku mchana unaenda poa nadhani kwako
Unakosea sana! ....Hebu Mwambiee mwaya shemeji
Naomba unisamehe mno, sikuwa na nia ya kukuudhi.Unakosea sana! ....
pole lulu kwa kuachana na bae wako kama kweli ulimroga kama wanavyosema au watu tu waliamua kuwaachanisha Mungu ndio anaejua ukweliUdaku...![]()
![]()
![]()
![]()
Utani mwingine bhan?
Yaani una double-name! Uwe mke wewe! Uwe wifi wewe

binamu nakuonalee empire asante kwa magazeti mjomba
Hakyanani nitasoma baadaye maana saa hizi kuna huyu muungwana namalizia kesi yake
![]()
hivi baba mchungaji n nani haswahapana mjomba, sijaviamkia, sema vyenyewe ndo vimeamka na mimi baada ya kusikia tangazo la serikali na vinajua kabisa mpwao ni mlipa kodi maarufu.
BTW, ukiulizwa hiyo chupa ni ya nini na BH tafadhari sema ni tiba ya kipandauso, nisije nikakosa mambo mazuri na uabrikio
Kwa hilo tu usijali ntamwambia kabisa mbona yule tunamvuta gheto soon ..muhimu kirikuu chetu kijae mafuta tukienda kumpokea
Alafu bhinamu ukiulizwa na aunt yako mwambie Leo nakusindikiza ...kale kapromis ni leo
kapromise kapi hakoKwa hilo tu usijali ntamwambia kabisa mbona yule tunamvuta gheto soon ..muhimu kirikuu chetu kijae mafuta tukienda kumpokea
Alafu bhinamu ukiulizwa na aunt yako mwambie Leo nakusindikiza ...kale kapromis ni leo