Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Wewe wa kwanzaMleteee bhanaaa
Wewe wa kwanzaMleteee bhanaaa
Naomba msaada wako niweze kuipata hiyo historia le dictatorHakuna watu wabaya kwenye kulipa kisasi kama Israel. Huwa wanadili kuanzia yule aliyepanga tukio mpaka alitekeleza. Haachwi mtu. Rejea sakata la kikundi cha Balck September dhidi ya mauaji ya wanamichezo wa Israel katika michezo ya olimpiki ya mwaka 1974 pale jijini Munich nchini Ujerumani.
Le Mutuz ni girlfriend wa Bashite?
kila kombora la Mange yy ndo anahangaika kupangua
.....

Apate mafanikio ukubwaniMwanao unamwita Tabu unategemea nini
....
Pengine maajabu yataendeleaSijui wanaanzia wapi!
Kamanda vipi mazoezi ya leo yalikuwa taiti nini?Usiku mwema wapendwa
Nami nimenyoosha mkono kwenye post ya nyumaWewe wa kwanza
Mara Leicester kamchapa AthleticoPengine maajabu yataendelea
Nimekuona bado moja ili tuvuke 3/1Nami nimenyoosha mkono kwenye post ya nyuma
Arse8 watalia na chelshitMara Leicester kamchapa Athletico
Jana mwanangu Kogi aliniuliza swali la kizushi, Eti baba ukichanganya OMO na FOMA unaweza kupata povu? Nikamjibu, Lazima upate kwa kuwa zote ni sabuni za unga. Kisha nikamwambia, Siku nyingine usiwe unauliza maswali ya kipumbavu. Akaniambia majibu yako ndio ya kipumbavu. Utapataje povu bila kuweka na maji?
Tangu jana bado najiuliza nimekosaje swali kizembe? Sasa namtafutia sababu afanye kosa dogo tu nimchape bakora za maana kwa kunivunjia heshima.

kaka umetisha sana umenikumbusha mbali sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kaka umetisha sana umenikumbusha mbali sana