Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Jamaniiiiiiiibaby hamna leo kutoka na was was na hzi safari zako kweli tena
Jamaniiiiiiiibaby hamna leo kutoka na was was na hzi safari zako kweli tena
nimemuelewa sna shemelaJamaani muone leee
Ili nikigeuza kisahani nigeuzi vizuri...
Mimi niko kama Ngwajima..!
Single button ! Double manifestation
Ewaaaaaaaaaahbaby umeshayashinda mbona
sio shunie mm shemela anaanzajeWala sitaji !
Namuachia Ray Van Boy!
Baada ya week utamuona Dogo anamtongoza shunie..
Keep this Comment
Weka hii post 143799....
Dada angu mzima ndio nimeingiaHabarini jamanii, nawasalimu nyote
miss u sakayo wa kwangu mmMie nawazimia
KhaaaaaaMiss you utamu wangu
Si kamuacha transcendMmh dear tena
Nilimwerekezaaa babyww ndio ray van boy au![]()
no sio kumtetea unajua unaweza ukawa unapendana na mtu watu wakaanza ooh kamroga kumbe mtu kachanganywa na mautamu unayompaNilijuaaaa utamteteaa
Naomba uku uingie badaee![]()
![]()
![]()
Mmhuuu!!! Shemela wacha anipe maujuzi broNilimwerekezaaa baby
Miss you too kitulizo cha Mawazo yangumiss u sakayo wa kwangu mm
unakana tena au ulijua leo sitaingiaWalaa
aisee na mukongo nae mana kila siku anaenda kanisaniAnafukuziaa
Dada KoShkamoo
nimekuelewa snaSi kamuacha transcend
no sio kumtetea unajua unaweza ukawa unapendana na mtu watu wakaanza ooh kamroga kumbe mtu kachanganywa na mautamu unayompa
kwahiyo niingie makapuku badae au sijaelewa
jokes
sawa ila yakikugeuka ww usimtafute mchawiNilimwerekezaaa baby
kila la heriMmhuuu!!! Shemela wacha anipe maujuzi bro