Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Jumatatu...ongeza na mdalasini ili anukie pilau.
Hivi leo jumangapi?
Jumatatu...ongeza na mdalasini ili anukie pilau.
Hivi leo jumangapi?
JE WAJUA
Mwaka 1894 mchungaji alimuokoa kijana mwenye miaka 4 ambaye alikua amezama ndani ya maji.
Kijana huyo ni Adolf Hitler
na kijanaa huyo akajaa kuwa kiongoz hatari kwa duniaaHata ukiwepo shunie nambeba tu.Nipooo
Uchukue nguo ndefu za mtumbakarume tena
Rudi hapaaa
hahahhah sawa Dada ndio mana nakupendaKambembelezee chumbani, muondoe hapa mdogo wangu. Usisahau kumtengea maji yeye iliki aoge kwanza, mengine mtamaliza wenyewe
NipoooUnaenda wapi
NO!!! Mimi ni mushenga, tena nilitangulia na Shunie ku mugari yangu kuelekea kwa wazee na mimi hapana muombamo pipiDanjanoy
Ray van boy
Nyagei
Usser
Werrason
Wengine nimewasahau...

Hahaaa! Noo mkuuMbona unanga'ata na kupuliza
Haahhahhahah...ongeza na mdalasini ili anukie pilau.
Hivi leo jumangapi?
KaribuuuuuDuuuu, huu uzi umetembeaa kwel kwelii
unaenda wapi kweli una mchepuko eenh
Aisee, Mkuu nipo...Mdgo wake lee upo?
Wewe unahisi yanataka nnsijui mm
Sawa mkuuu! Respect!NO!!! Mimi ni mushenga, tena nilitangulia na Shunie ku mugari yangu kuelekea kwa wazee na mimi hapana muombamo pipi![]()
kumbe kweli unayoongeaUnaenda wapi
Hivi unajua kwa nini naitwa SakayoShunie hivi dada yako sakayo ameolewa?
Hapa niko serious...
Shunie hivi dada yako sakayo ameolewa?
Hapa niko serious...
Kwema joohAisee, Mkuu nipo...
Za ciku nyingiii
Jimena, youngblood na wengineee wapo wazimaaa kweliiii
Maana n mda sanaa
Jumatatu