Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,847
Hata mm nalijua hilo ngoja mondray ajeWewe mbaya wangu kitambo
Hata mm nalijua hilo ngoja mondray ajeWewe mbaya wangu kitambo
Sio hivyo broNa wewe ni mbaya wangu
Nambie Engineer, naona leo uzi umekumbuka speed yakeMukongo, mutu ya kasai
Hawezi kabisa, kwanza shemela wangu alivyo na msimamo wataanzaanzaje kwanza kwa mfanoMkuuu boraa umekujaa ...
Kuanziaa papaaa mpaka transcend wanataka kuninyanganya shunie
lile la kwako cha mtoto dadaTetemeko la Shunie
My JesusWeeeeee! Unataka ununue kesi mbichi eehh!
Watu wanamfata shunie wenyewe!
utanisababishia talaka mume bado namuhitajiHuyu binti kwa kweli kwa asilimia 90 kanileta ndo maana nimeamua kumfollow tu,nampenda bure mie kila uzi yupo na michango yake inaeleweka
Yapi tena?Ninaa matatizo ya familiaa
DanjanoyMmh wangapi wanamfata?
HahaaaEeeh! Kijana wangu huyo sasa!
Asubuhi lee ama sign off![]()
Sema ukweli mbona kama anakujua fikababy mm simjui kabisa
Mkuu usicheke huyu binti kiukweli ana moyo wa kupitia riwaya haswaa
Unamtaka shunie ukomeeKivipi
Ananichukia sana huyu mshikajiSio hivyo bro
Hahahaaa! Jamaani mwacheni hata nikaangalie nae mechi ya man untd baadayeHahaaa
Wivu tu huyo.
[HASHTAG]#ShunieIsMineNow[/HASHTAG]
Poa, ndio nimeingia jioni hiiNambie Engineer, naona leo uzi umekumbuka speed yake
Kila mtu anampenda cheupe wanguYapi tena?