Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hebu ninong'oneze basi kuhusu dada...chap chap basiii...afu nikuambie dealkumbe kweli unayoongea
Hebu ninong'oneze basi kuhusu dada...chap chap basiii...afu nikuambie dealkumbe kweli unayoongea
Unakenuaaa nini
inabidi tu nibakiBaki tuu shemeji yangu!
Hahaaaaaaaa! Hahaaa!hahahhah au I'd ya pili ya baby
hahahhahah babyUchukue nguo ndefu za mtumba
Kasema hana nguo ndefuAtaa sijuiii
Muulizee
Mtoto wanguMdgo wake lee upo?
kama unayajua hayo mbona ulitaka kutugeukaNO!!! Mimi ni mushenga, tena nilitangulia na Shunie ku mugari yangu kuelekea kwa wazee na mimi hapana muombamo pipi![]()
Ukanunue gauni refu! Hiyo id ndo chanzo ..hahahhahah sijaelewa karume naenda kufanya nn jamaan eb tuacheni mnatupa shida



Achana naeeuite kama kweli lee anao
Hujui nimefanana na babanguKhaaaa unachokitafuta utakipata
Nikivukaa mitihanii hii Namaliziaa posaa ila ataletaa mwingine kumaliziaa
Werrason tupa kule
me ninachohisi wanakuvuruga tu waone msimamo wako kama mwanaumeWewe unahisi yanataka nn
LiambieeMbona unanga'ata na kupuliza
Tell mee!!!Khaaaa unachokitafuta utakipata
hahahhaHivi unajua kwa nini naitwa Sakayo
Ipunguzeeimekataa naambiwa kubwa haikai
khaaaaaa dadaBasi apunguze wivu