Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kumbe itakuwa mnajuanaanapenda riwaya ndio mana nipo sana entatairnment
Kumbe itakuwa mnajuanaanapenda riwaya ndio mana nipo sana entatairnment
Nimemwambiaa aweke yangu hatakiiNa utoe kweli
Sijui niite ule mchepuko wa lee ili hii vita iwe rahisi..halaf baby labda mnajuana ujue mm simjui kabisa sijawahi kumuona


Najuanaa na nanhalaf baby labda mnajuana ujue mm simjui kabisa sijawahi kumuona
Lee watu wamekula karanga za wapi?Nakujuaa ila Leo haya majamaa mbona yanakusumbua hivo
hahhahahhI wish i could be Lee empire..
Watu wangesepa humu!
Daah ! Hiki kichwa ni sheedaJE WAJUA? ?
Leonardo da vince alikua ana chora kwa mkono mmoja na mwingine anaandika kwa wakati mmoja
hahahhahhHahahaaa! Leee anavyooandika kipoleee...
ujue nimecheka hadi wanashangaa hapa nilipo...
Makapuku forum uishi milele..
Wewe 2 nambaShunie hebu taja wasumbufu !
nipo mmShunie upo mkuu?
Kama mimi vile hana shida yoyoteDaah ! Hiki kichwa ni sheeda
Mdogo wangu, kabla sijakuagizia humu kapuku, shemeji alikuwaga kapuku mwenyewe au

Kambembelezee chumbani, muondoe hapa mdogo wangu. Usisahau kumtengea maji yeye iliki aoge kwanza, mengine mtamaliza wenyeweDada marafiki zake humu walikua wanamtania kuwa wananitaka ndio tatizo
simjui mm baby sitakubania nitakupa tu ata tukifungwa najua ulivyovurugwaBaby unamjuaje danjaboy ??
Mbona kama anakujua sana mpaka nina wasiwasi
Tatu Leo mkifungwa unanibaniaa??
Dompo utakunywaa au ??

Wewe sikuamini saaanaMimi simo mkuu
Muuliza hata madame sakaya
Kazii ninayoositumii pm mm halaf mm n wa lee tu jamaan mbona hivi