Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Shunie hivi dada yako sakayo ameolewa?anaweza akawa ananiona tu lkn mm simjui
Kingine kama yy n mpnz wa story lazima atakua ananiona sbbu mm napenda sana kusoma story
Hapa niko serious...
Shunie hivi dada yako sakayo ameolewa?anaweza akawa ananiona tu lkn mm simjui
Kingine kama yy n mpnz wa story lazima atakua ananiona sbbu mm napenda sana kusoma story
Kwa nini hatakiiNimemwambiaa aweke yangu hatakii
mnajijua hakuna haja ya kuwatajaShunie hebu taja wasumbufu !
Ndoo maana nakupendaa
nilikutana nae huku dada ulivyoniingiza tu nikakutana naeMdogo wangu, kabla sijakuagizia humu kapuku, shemeji alikuwaga kapuku mwenyewe au

Bby kavurugwa anaweza akakumbia soko ya songwe wakati uko dsm..karume tena

so much muchiiiiiiiiiSoooo muchiiiiiiiiiiii???

Shunie my dear hata mimi nakuhitaji pia kwa moyo mmoja please naomba nije pm

Warereeesimjui mm baby sitakubania nitakupa tu ata tukifungwa najua ulivyovurugwa
Dompo nitakunywa![]()
ila mm simjuiKumbe itakuwa mnajuanaa
Mdgo wake lee upo?Duuuu, huu uzi umetembeaa kwel kwelii
Jibu ganiiiNasubiri jibu
nimeweka imekataaNimemwambiaa aweke yangu hatakii
uite kama kweli lee anaoSijui niite ule mchepuko wa lee ili hii vita iwe rahisi..![]()
Sasa mimi nataka nimsaidie afu anakua mbishi..Huo ni uchochezi jamani
Mbona unanga'ata na kupulizaMkuu mimi nimefanyaje tena ?![]()
Mmmmmnh ndo kilichomletaa huku nyumbaniianaweza akawa ananiona tu lkn mm simjui
Kingine kama yy n mpnz wa story lazima atakua ananiona sbbu mm napenda sana kusoma story
na huyo danjaboyNajuanaa na nan
Baki tuu shemeji yangu!sitoki tena shemela