Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kiroho safi niachie shunie hakujui humujuiMbona povu mkuu kama unategemea uchawi,fanya ulichodhamiria nione kama kweli
Kiroho safi niachie shunie hakujui humujuiMbona povu mkuu kama unategemea uchawi,fanya ulichodhamiria nione kama kweli
Mbona mapema mkuuNawatakieni usiku mwema makapuku wote
Na weww pia broohNawatakieni usiku mwema makapuku wote
Haka kashkaji katakua kalikua kajini
Biashara nzuri ni ya mashindanoUnataka kuvuka mipaka
Nawaliaa rada tuuI wish i could be Lee empire..
Watu wangesepa humu!
Leee....Mbona povu mkuu kama unategemea uchawi,fanya ulichodhamiria nione kama kweli
baby mm simjui kweli labda kama ananionaga tu labda nacommentShuniee huyu wangu au ??? Kuwa siliasii
Hahahaaa! Leee anavyooandika kipoleee...Kiroho safi niachie shunie hakujui humujui



ujue nimecheka hadi wanashangaa hapa nilipo...
Ahaaaaaaaaah na coke bashite??Hana jipya kama wangine
![]()
![]()
![]()
![]()
kaka mm ni mkewe wa ndoa nampenda sna mume wangu hapo utakua umeelewaMpaka shunie atoe tamko mkuu,in short nampenda huyu dada sasa kama ni mkeo wa ndoa sina jinsi ila kama na ww unafukuza mwingi haina jinsi mwenye kisu kikali ndo atakaemchukua.
baby usichoke mm ni wakoNachokkaaaa sio kwa preshaa
Ile sio bidhaa sasaBiashara nzuri ni ya mashindano
Mkuuu nisaneheeeLeee....
Una deal nikuchapie hawa jamaa kwa dakika 10 tuu?
nimekuja babyMkuuu mbona umekujaa na kasi ya ajabu ....utani mwingine haufaii
Shunie ebu njoo bhanaaaaah
AiseeeeeeAhaaaaaaaaah na coke bashite??
Shunie upo mkuu?baby mm simjui kweli labda kama ananionaga tu labda nacomment
baby si upo na mm kwahiyo hauniamini mm ninachokwambia ww si unanijua mm vizuri![]()
![]()
hivi majaribu gani napitiaa