Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hehehelile la kwako cha mtoto dada
Pole
Hehehelile la kwako cha mtoto dada
Utokeee uendee wapiiinabid nitoke kidogo makapuku ili baby wangu awe na amani
shemela nipo za kwakoShemela wangu wa ukweli upo
Mshika pembeeNdio habari yangu kwa sasa
Je Wajua
Neno la mwisho la Jack Daniel kabla ya kufa lilikua
"One more drink please"
We are rocking up broh!Niko poa kabisa, vp pande hizo
halaf baby labda mnajuana ujue mm simjui kabisa sijawahi kumuonaUtanii gani wa danjaboy
Aiseeeeeh fanya mpango kesho amkia karumebaby jamaan
hawawezi shemela tatizo lee haniaminiHawezi kabisa, kwanza shemela wangu alivyo na msimamo wataanzaanzaje kwanza kwa mfano
Na utoe kwelinitatoa
kweli simjui mmSema ukweli mbona kama anakujua fika
Nakujuaa ila Leo haya majamaa mbona yanakusumbua hivobaby si upo na mm kwahiyo hauniamini mm ninachokwambia ww si unanijua mm vizuri
Noooooooooo!inabid nitoke kidogo makapuku ili baby wangu awe na amani
napenda riwaya ndio mana nipo sana entatairnmentMkuu usicheke huyu binti kiukweli ana moyo wa kupitia riwaya haswaa
Taaabuu tupuuuHahahaaa! Leee anavyooandika kipoleee...
ujue nimecheka hadi wanashangaa hapa nilipo...
Makapuku forum uishi milele..
love u hunnie

Shunie hebu taja wasumbufu !shemela bora umekuja umsaidie ndg yako
Mdogo wangu, kabla sijakuagizia humu kapuku, shemeji alikuwaga kapuku mwenyewe au
Soooo muchiiiiiiiiiiii???love u hunnie![]()
situmii pm mm halaf mm n wa lee tu jamaan mbona hiviShunie my dear hata mimi nakuhitaji pia kwa moyo mmoja please naomba nije pm