Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Eeeh!Mimi pekee ndo nampenda,nyie mnamtamani tu
Shuka mistari sasa !
Eeeh!Mimi pekee ndo nampenda,nyie mnamtamani tu
Raha sana@werrasoni yupo na mama mchungaji anafundushwa kuhubiri
Ntakurogaaaaa kabisaa nikupotezeeeeShunie my dear hata mimi nakuhitaji pia kwa moyo mmoja please naomba nije pm
Eeeh! Noooo!
Mpo battle moja na yeye...sema yeye anapiga kwa kuvizia vizia...

Ndo chanzoooMpaka mshenga kweli, siamini
UlooooooALIKUKATAAA
TutaonaaaaWewe unajua kwetu wapi
Sisi uchawi tunauza kwa kupima kwenye magunia
Yaani mimi namuokoa na bla balaa wewe unalia.....Lioneeee na hiliiiii
Anamalizia scene kushoot atakuja soonHahahaaa! Rudisha avatar ya chaplin kwanza..
Hajui huyoMambo ya leka lutigite!
Paprika jeeUloooooo
Hakuna binti anayeweza kuchomoa kwangu
PoaTutaonaaaa
Mbona povu mkuu kama unategemea uchawi,fanya ulichodhamiria nione kama kweliNtakurogaaaaa kabisaa nikupotezeeee
Unaniachajee sasaNawatakieni usiku mwema makapuku wote
Alishasema atawafanya kitu mbaya wanaovuka mipaka
JE WAJUA??
Bruce lee ndie mtu pekee ambae alikua anaweza kupiga ngumi karatasi ambalo linaning'inia na kulitoboa katikati
Unataka kuvuka mipakaLipi hilo joooh
Nielezee
Kwenda zakeeee hana jipyaPaprika jee