Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Habari ya asubuhi?Makapuku
Habari ya asubuhi?Makapuku
Usichoke tararibu utaipataNimeipenda picha ile ila pakuipata khaaaaa
Maybe Pep hajui kujenga ukuta!!!![]()
Man city tulikupenda ila uwanja wako ulikupenda zaidi , sheria ni nzuri kwa upande mmoja ila mbaya kwa upande mwingine...hii ya kutoruhusu mabao mengi inawaponza wengi ila sio mbaya kwa malkia kumebaki wazee wa historia 'fox'
Tukutane kesho mchana kujua Fox kama anapewa vibibi vile au mmoja wa kutoka kule kuliko na ubishi wa ligi bora duniani ni wapi ....
Ila nina imani makapuku wenzangu wanaoipenda hii time ya Pep ni wachache au hawapo ....Ila wazo la kikao cha transcend liko palepale....
TupoooooMakapuku
Alishindwa kuzijua tactics za Monaco ndio maanaMaybe Pep hajui kujenga ukuta!!!
Nilikuwaa kwa obeeb niambie ukweli ulikua wapi
Kutenganisha mahaba ya mpira na mahaba asiliababy kikao cha nn
Asante na wewesantee baby kwa magazeti
mmh mbona yy anakataa au baby ushaanza makando kandoNilikuwaa kwa obe
Kuna ban ya kutongoza "mke" wa mtu mkuu? Ni Invincible au mod gani ambaye huwa anaitoa? Usinichongee mkuu. Japo siyo dili sana lakini sipendi ban aisee. Nikikata wiki bila kumchokoza chokoza Shunie ili kupima upepo roho huwa inauma balaa. Tuvumiliane mkuu na kama Shunie ataridhia basi itabidi tufanye POLYANDRY kwa sababu hakuna namna. Unasemaje?
cc: Shunie
Asanteee mkuuLeo katika historia:
Niwatakie siku njema.
Nimetuliaa kabisaaaababy relax wala asikutishe
safi za ww mukongoHabari za asubuhi wanafamilia
Walaaa mmi namchora anavonengenekwaahahahhh uende salama tu unamkosesha amani baby wangu
MmhKutenganisha mahaba ya mpira na mahaba asilia
Bob MikwaraNaionaaa ban kabisa inakujiaa...tena ikiwezekana ile ya vipapaii ....cheza na vyote ila sio shuniee![]()
![]()
![]()

mukongo ww sio wa kumgeuka lee
Kikulachooo