Makapuku Forum

Makapuku Forum

2c722d1b25e97ad55993143b508c1075.jpg

Man city tulikupenda ila uwanja wako ulikupenda zaidi , sheria ni nzuri kwa upande mmoja ila mbaya kwa upande mwingine...hii ya kutoruhusu mabao mengi inawaponza wengi ila sio mbaya kwa malkia kumebaki wazee wa historia 'fox'

Tukutane kesho mchana kujua Fox kama anapewa vibibi vile au mmoja wa kutoka kule kuliko na ubishi wa ligi bora duniani ni wapi ....

Ila nina imani makapuku wenzangu wanaoipenda hii time ya Pep ni wachache au hawapo ....Ila wazo la kikao cha transcend liko palepale....
baby kikao cha nn
 
Kuna ban ya kutongoza "mke" wa mtu mkuu? Ni Invincible au mod gani ambaye huwa anaitoa? Usinichongee mkuu. Japo siyo dili sana lakini sipendi ban aisee. Nikikata wiki bila kumchokoza chokoza Shunie ili kupima upepo roho huwa inauma balaa. Tuvumiliane mkuu na kama Shunie ataridhia basi itabidi tufanye POLYANDRY kwa sababu hakuna namna. Unasemaje?
eb niache na baby wangu msukuma
 
Utashangaa akiamka na kuunga mkono wazo langu la POLYANDRY . Jiandae kisaikolojia mkuu.

Shunie ukiamka usiniangushe. Nitakuwa angani kwa masaa sita na nusu na nikitua tu kitu cha kwanza ni mbio hapa kuja kuona kauli yako. Usije ukanihuzunisha miye kijana kutoka Koromije....
hivi nikiachwa utafurahi eenh, mm sitaki
 
Umesarenda? Kirahisi hivyo? Ni kweli unampenda Shunie wewe au gheresha tu? Ungekuwa unampenda kikweli ungempigania mpaka tone la mwisho. Aisee...

Tuonane tena baada ya masaa manane hivi inshallah. Na haya mausafiri yao ya kutetemeka mawinguni haya mi siyapendagi ila basi tu. Mi nimezoea punda kule kwetu Koromije. Msalimie Shunie...and I am logging off !
hahahhh uende salama tu unamkosesha amani baby wangu
 
Umesarenda? Kirahisi hivyo? Ni kweli unampenda Shunie wewe au gheresha tu? Ungekuwa unampenda kikweli ungempigania mpaka tone la mwisho. Aisee...

Tuonane tena baada ya masaa manane hivi inshallah. Na haya mausafiri yao ya kutetemeka mawinguni haya mi siyapendagi ila basi tu. Mi nimezoea punda kule kwetu Koromije. Msalimie Shunie...and I am logging off !
Usifikiri kasarenda kiboya hivyo, tegemea ambushi matata.

Usichezee chakula ya baba asilani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom