Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kila nchi ina mambo yake yanayoboa. Nimerudi kutoka katika mizungiko iliyonifikisha katika nchi 6 katika mabara matatu tofauti na kote huko kero kibao. Wamarekani wenyewe wako hoi naTrump wao. Sema tu sisi binadamu huwa tunaona kuwa matatizo tuliyonayo ndo funga kazi kumbe tungeangaza kwingineko pengine tusingekata tamaa kivile...
Trump anawakosesha usingizi
 
Nilifuatilia uzi fulani wa jamaa Castr ndio namm nikaanza. Weee imebidi nimfuate pm nimueleze akanishauri leo nipige kidogo. Sasa nikajiuliza kama kumpiga mbu, kucheka, hata kusex pia suwez kwa jinsi nilivyo si ndio nitakufa kabisa ikabidi nipotezee. Niliiogopa nilidhan nimekata utumbo
Tizi unatakiwa uanze nalo mdogo mdogo na ukitaka kuacha uache hivyohivyo mdogo mdogo
 
2c722d1b25e97ad55993143b508c1075.jpg


Man city tulikupenda ila uwanja wako ulikupenda zaidi , sheria ni nzuri kwa upande mmoja ila mbaya kwa upande mwingine...hii ya kutoruhusu mabao mengi inawaponza wengi ila sio mbaya kwa malkia kumebaki wazee wa historia 'fox'

Tukutane kesho mchana kujua Fox kama anapewa vibibi vile au mmoja wa kutoka kule kuliko na ubishi wa ligi bora duniani ni wapi ....


Ila nina imani makapuku wenzangu wanaoipenda hii time ya Pep ni wachache au hawapo ....Ila wazo la kikao cha transcend liko palepale....
 
Mkuu unataka ban nyingine....???
Kuna ban ya kutongoza "mke" wa mtu mkuu? Ni Invincible au mod gani ambaye huwa anaitoa? Usinichongee mkuu. Japo siyo dili sana lakini sipendi ban aisee. Nikikata wiki bila kumchokoza chokoza Shunie ili kupima upepo roho huwa inauma balaa. Tuvumiliane mkuu na kama Shunie ataridhia basi itabidi tufanye POLYANDRY kwa sababu hakuna namna. Unasemaje?
 
Kuna ban ya kutongoza mke wa mtu? Ni Invincible au mod gani ambaye huwa anaitoa? Usinichongee mkuu. Japo siyo dili sana lakini sipendi ban aisee. Nikikata wiki bila kumchokoza chokoza Shunie ili kupima upepo roho huwa inauma balaa. Tuvumiliane mkuu na kama Shunie ataridhia basi itabidi tufanye POLYANDRY kwa sababu hakuna namna. Unasemaje?
Naionaaa ban kabisa inakujiaa...tena ikiwezekana ile ya vipapaii ....cheza na vyote ila sio shuniee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom