Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,403
Jamani ni sawa kushikishana mabango namna hii hata kama ni mtuhumiwa wa uhalifu? Nasema kuwa ni mtuhumiwa kwa sababu bado kosa lake halijathibitishwa mahakamani. Na ni makosa gani ukiyatenda ndo unashikishwa bango namna hii?Bongo vituko haviishi haki ya nani!

