Makapuku Forum

Makapuku Forum

LEO KATIKA HISTORIA:

1976 - Waziri Mkuu wa Uingereza Harlod Wilson anajiuzulu wadhifa huo.

Inaelezwa sababu ya kujiuzulu kwake ni sababu binafsi.
074b4f2ba5ed966eda93bbc05cbb086f.jpg
c40c1c5d2e15ce315cd592c3d9f6fe2c.jpg
7e8e9c13d4f207b5c08a74f8878498d3.jpg

Only in Europe
.....
 
Jamani ni sawa kushikishana mabango namna hii hata kama ni mtuhumiwa wa uhalifu? Nasema kuwa ni mtuhumiwa kwa sababu bado kosa lake halijathibitishwa mahakamani. Na ni makosa gani ukiyatenda ndo unashikishwa bango namna hii?Bongo vituko haviishi haki ya nani!
65f02357d9025ef1ade87b02c5c4f184.jpg
Hii nchi watu wanafanya maamuzi kwa kujisikia na sio kufuata sheria.....
 
Asante mume-mwenza kwa magazeti ya leo. Naona ishu ya Bashite bado imeshika kasi. Inavyoonekana dogo atasavaivu hii kasheshe japo Mange binti Kimambi bado kamkalia kooni sawasawa. Nawapa pole wote waliofukuzwa kazi kwa sababu ya vyeti feki. Hakuna usawa hapa duniani aisee....
Haki Mbinguni tu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom