Makapuku Forum

Makapuku Forum

itakua ugonjwa wa bawasiri huo
Wee Shunie wee. Bawasiri tena. Ilikuwa ni terminal stage ya Oral Cancer. Kinywa chote kimechakaa kabisa kabisa. Madaktari huko walikuwa wanaelimisha kuwa kisababishi kikubwa cha oral cancer kwa sasa ni tabia ya watu kuzama chumvini hovyo hovyo na haya ni matokeo ya utafiti wa kisayansi kabisa. Basi nikalimwa ban na thread ikafutwa....
 
Khaaaa mbona watu wataugua wengi
 
Mbona kwa Shunie kuna hujui is married
Kuolewa ndiyo nini Mukongoman? Mume mwenyewe wala sijamuona hapa tangu nirudi. Si ajabu kasafiri au anaumwa. Akirudi atakuta mtoto si wake. Hapa nipo namwimbisha Shunie wikiendi ijayo twende visiwani hukooo "tukatambulishane". Ni mambo ya Kikoromoje Koromije tu....
 
kaenda kumsalimia binamu yake obe nahisi simu imeisha chaji na kwa binamu umeme hamna

hapana mm siwezi kumuacha mume sbbu ya mambo ya mpito kama yako msukuma
 
Wee Shunie wee. Bawasiri tena. Ilikuwa ni terminal stage ya Oral Cancer. Kinywa chote kimechakaa kabisa kabisa. Madaktari huko walikuwa wanaelimisha kuwa kisababishi kikubwa cha oral cancer kwa sasa ni tabia ya watu kuzama chumvini hovyo hovyo na haya ni matokeo ya utafiti wa kisayansi kabisa. Basi nikalimwa ban na thread ikafutwa....
Duh!

Nina wazo tofauti kwamba kuzama chumvini zama tu kwa raha zako ila usizidi kiasi na pia sio kila shimo na la kuzamia. Hapo utaishi mpaka ufe bila oral cancer
 
Samtaimu kuna mambo yanaboa sana nchi hii
....
Kila nchi ina mambo yake yanayoboa. Nimerudi kutoka katika mizungiko iliyonifikisha katika nchi 6 katika mabara matatu tofauti na kote huko kero kibao. Wamarekani wenyewe wako hoi naTrump wao. Sema tu sisi binadamu huwa tunaona kuwa matatizo tuliyonayo ndo funga kazi kumbe tungeangaza kwingineko pengine tusingekata tamaa kivile...
 
SHIMBA YA BUYENZE , huko kwingine unapozungumzia , madaraka ni ya kitaasisi zaidi na si mtu mmoja. Hili tunalikabiliana nalo hapa Tz ni ugonjwa ambao tiba yake si rahisi kama wenye dhamana hawafanyi ile iitwayo politics of limited objectives. Maana yake, una vitu unavipenda na wachache wanavyao wanavyovipenda na hivyo tunajenga nyumba moja mwenye kuleta fito sio kwamba ana akili sana kumshinda anayeleta unyasi
BTW pole kwa ban, ukiwa kwenye Jukwaa lile lazima uwe na ngozi ngumu
 
Mfano ni Jukwaa la Polifix
Kuna pipo zinaitwa Lumumba buku 7 zinaudhi hadi unajiuliza hivi hawa wanaishi Masaki? Ni watoto Wa vigogo? Maana wanapost upumbavu tu kila kitu ki nachohusu nchi/serikali/Ccm kwao ni OK tu
......
Hata pipo za Ufipa ni hivyo hivyo. Nazo zinaudhi utafikiri zote zinatoka ukoo wa akina Aikaeli. Mawazo na hoja utazipata kwa watu ambao tuko objective na hatuegemei katika ushabiki wa kisiasa.

Hizo pipoz zikianza kuitana buku7 vs Nyumbu basi hapo hakuna la maana mbali na kuporomosheana matusi na kutoa mapovu.
 
71d8260b425781b3533be046ca13427d.jpg
Naona City anafanya ujinga
.....
 
Ulimmiss mpaka unaumwa? Mimi nimekula ban hapa ya siku 10 hata kuniulizia hakuna. Huyo Mukongoman anakuletea ma-platinum, ma-cobalt na ma-karats ya dhahabu na miakmasi? Roho yaniumaaa! Haya nami nimekuletea michembe kutoka Koromije...Kha!!!
hahahh msukuma acha wivu tatizo lako ww huku siku hizi haupatikan ww nakukuta siasani kwahyo ukipotea najua upo kwenye siasa lkn nilikupa pole mwanzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom