Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,254
Sorry mkuu huku hatupokei tena me tunataka ke tu.
1964 - Mahakama mjini Dallas inamtia hatiani mmiliki wa pub Jack Ruby kwa kuhusika na mauaji ya Lee Harvey Oswald ambaye inasemekana ndiye aliyempiga risasi na kumuua Rais John F. Kennedy.
Daah! Hiki kichwa na ile formula yake ya energy....1879 - Albert Einstein anazaliwa.
Ni Mjerumani na Mmarekani, mtaalam wa Fizikia, Uhandisi na mwanazuoni mahiri kabisa.
Ni mshindi wa Nishani / tuzo ya Nobeli.
Miss Mbuya1
Njema habari za Leo za majukumu ubarikiweHabarini za asubuhi Makapuku!?
Salama za Leo?ubarikiweSalama wakuu!?
1967 - Mwili wa aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy wahamishiwa katika makaburi ya kudumu ya taifa ya Arlington National Cemetery.
Morning friendMorningz ma friends
Hahahaaa! Kumbe ni me? Aaarrrrg!!Sorry mkuu huku hatupokei tena me tunataka ke tu.
Kama ni ke sema upewe maelezo ya humu ili uishi kwa furaha na amani
(Sejok)
Polee ni janga simu Jana hazikuwa na usalama..Lee makapuku huku simu zmeenda na maji
Hahahaaaa I seeeDereva akiwa ndani ya gari alimwona mwanamke anauza matunda pembezoni mwa barabara. Baada ya kukubaliana bei ya kikapu kizima cha matunda akamwambia yule mwanamke akaweke matunda ndani ya buti ndipo apewe pesa yake.
Mwanamke akaenda kwenye buti akafungua badae akafunga bila kuweka matunda. Dereva baada ya kusikia buti ikifungwa akaondoa gari kwa kasi. SWALI JE HAPA NANI MWIZI. Dereva au Mwanamke?
SafiMambo vipi kf members??
Ila alifanya kosaNjano ya kwanza ni kijinga sana!
Rudi lile tukio ndo utajua...!
NilijuaaaMkuu wewe ni ke au me
1933 - Quincy Jones anazaliwa.
Ni mwanamuziki, mtunzi na mtayarishaji wa muziki toka nchini Marekani.
Moja kati ya kazi zake alizozitayarisha ni pamoja na Albam za Michael Jackson ya Thriller na Off the wall pamoja na Singo kali ya We are the world.
Naomba noticeMiss Mbuya1
Oooh! Shunie atakumwagia maji ya moto bure..Naomba notice
Hahaaa kwahiyo hutaki nikaribishe mgeniNilijuaaa