Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Wapi huko tena?Nilishawahi kukutana nayo
Wapi huko tena?Nilishawahi kukutana nayo
Dah nimeshachelewa*TANGAZO:*
*Kwa anaehitaji mtoto ndani ya mwaka huu 2017 ahakikishe hiyo mimba inatungwa leo kinyume na hapo mtoto atazaliwa mwakani. Ahsanteni*
hahaha ni salamu tuu mkuu.Fukunyuku ktk ubora wako nakuona
Unataka kupumzika?Humu hampumziki jamani!!
Mwaka huu hatupati
Unataka kupumzika?
KAPUKU utamuwezaa??Hamna nataka kufagia humu yaan rum hata deki haijapitishwa miaka
KAPUKU utamuwezaa??
KAPUKU ni kapuku ....Kapuku maana yake nn?
Mjibu Nyagei basi mkuu!Humu hampumziki jamani!!
nilishawahi kukutana sehem nyingi tu halaf nilikua nikiiona naifananisha na ya The BossWapi huko tena?
labda mwakaniMwaka huu hatupati
hivi janelowassa yuko ap
Mwaka huu wote tunajifurahisha ...Leo mwendelezo mapemaalabda mwakani