Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mmmmmmhhivi janelowassa yuko ap
Mmmmmmhhivi janelowassa yuko ap
Hahaha kumbe. Humu kuna mtu anaitwa The Name halafu mimi ilikuwa Th Name wakati nataka kuchange kuwa The Name ikashindikananilishawahi kukutana sehem nyingi tu halaf nilikua nikiiona naifananisha na ya The Boss
Unaongezea kwa transcend ??*****ATENTION****
Kama kawa as we used to be. Tunaporomosha tena mambo yetu yale ya je wajua.
Lee Empless ukiwa tayari niambiew
nilivyoona hiyo I'd nimemkumbuka Jane labda ndg ndio mana nimemuulizaMmmmmmh
mwendelezo wa nnMwaka huu wote tunajifurahisha ...Leo mwendelezo mapemaa

labda nimefananisha ila hilo jina lipo humuHahaha kumbe. Humu kuna mtu anaitwa The Name halafu mimi ilikuwa Th Name wakati nataka kuchange kuwa The Name ikashindikana
Lipo hilo jina sema jamaa sio active sana.labda nimefananisha ila hilo jina lipo humu
Sukari guru "tamu "unipe mapemaaa nakujua pogba akiborongaa ntaambuliaa nothingmwendelezo wa nn![]()
hahahhah kila mtu na chumba chakeSukari guru "tamu "unipe mapemaaa nakujua pogba akiborongaa ntaambuliaa nothing
Thubutuuu bhasi ntaenda kuangalizia kwa bhinamu obe..ila ntalala uko kuwahi foleni mapemahahahhah kila mtu na chumba chake
naona somo la Transcend kidogo linakuingia asante Transcend kwa kunihalibia mtu kidogo kidogo naona anakujaThubutuuu bhasi ntaenda kuangalizia kwa bhinamu obe..ila ntalala uko kuwahi foleni mapema
Apana ata somo lenyewe mwalimu ni dojaaa mzuri ...notice alininyima sikulielewaanaona somo la Transcend kidogo linakuingia asante Transcend kwa kunihalibia mtu kidogo kidogo naona anakuja
kwa obe unaenda kufanya nnApana ata somo lenyewe mwalimu ni dojaaa mzuri ...notice alininyima sikulielewaa
Kuangalia mpira bila matamanio ....ya tamukwa obe unaenda kufanya nn
MmmmmmhJE WAJUA??
kanisa katoriki limeweka rekodi ya kuwa na mtakatifu ambaye alikua anaonekana sehemu mbili kwa wakat mmoja.
Eg: Muda huu anaweza kua yupo Dar anahubir na muda huo huo yupo kigoma anabatiza.
Eeeeeh!Hamna nataka kufagia humu yaan rum hata deki haijapitishwa miaka
Weka picha bossMmmmmmh
Hahahaa! Mimi nishasema naitisha kikao cha ukoo wa makapuku..!naona somo la Transcend kidogo linakuingia asante Transcend kwa kunihalibia mtu kidogo kidogo naona anakuja
Anaitwa nani .JE WAJUA??
kanisa katoriki limeweka rekodi ya kuwa na mtakatifu ambaye alikua anaonekana sehemu mbili kwa wakat mmoja.
Eg: Muda huu anaweza kua yupo Dar anahubir na muda huo huo yupo kigoma anabatiza.