Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
ww si ndio mm, mm na ww si mwili mmoja nijibie tuWeeeee ujibuuu wewe
ww si ndio mm, mm na ww si mwili mmoja nijibie tuWeeeee ujibuuu wewe
Mwiliii mmoja rohooo tofautiiiww si ndio mm, mm na ww si mwili mmoja nijibie tu

Upo sahihi bado tunatawaliwa na wazungu na kufuata matakwa yao na kila penye vurugu na vuguvugu kuna mkono wa Wamarekani na washirika waoKuwa kiongozi mzuri na kudumu katika siasa HASA HIZI ZA AFRIKA ni pamoja na kusoma alama za nyakati na kujishabihisha nazo. Ukiwa ngangari sana wakati mwingine unaweza kupoteza uoni hata ukasahau lengo halisi la harakati zako. Mfano mzuri ni Savimbi. Alipewa umakamu wa rais akakubali lakini baadaye akageuza gia angani akaamua kurejea msituni kupigana. Kumbe upepo ukawa umebadilika na wafadhili wake wa Kimarekani wakawa hawana umuhimu naye tena kwa sababu tayari Do Santos alikuwa amekubali kuwauzia mafuta Wamarekani na vuguvugu la vita baridi lilikuwa limekwisha. Matokeo yake akaishia kuuawa na kuzikwa kama mbwa, na leo hii yupo huko anajiozea katika shimo la historia.
Hata huyu naye angeendelea kuwa ngangari si ajabu angeishia kuuawa au kukimbilia uhamishoni. Alifanya vyema kuchukua uwaziri mkuu na nadhani lengo lake ni kuwasha moto wa kiharakati tena baada ya Mugabe ku-RIP. Tatizo, kama ilivyo kawaida ya viongozi wengi wa Afrika, naye tayari anatajwa katika kashfa kadhaa za ufisadi mzito. Keshashiba sasa na si ajabu akaachana na siasa jumla. Mianasiasa!
Matokeo vipi mkuuNani aliyetuletea hili likocha Jangwani lisilojua kupanga timu wala kufanya sub....kiukweli Yanga ina kikosi kizuri ila kocha ndo tatizo ndio maana morali ipo chini maana wanaona hajui afanyalo
Kwa likocha hili tutaenda. Zambia kukalishwa tu
Bring back babu Pluijm
.........
Kama umempenda mwenyewe yeye ata-fake apate papuchi theninategemea kama hakupendi lazima afake na mtu kama hakupendi utajua tu mushenga

ww si ndio mm, mm na ww si mwili mmoja nijibie tu

Nani aliyetuletea hili likocha Jangwani lisilojua kupanga timu wala kufanya sub....kiukweli Yanga ina kikosi kizuri ila kocha ndo tatizo ndio maana morali ipo chini maana wanaona hajui afanyalo
Kwa likocha hili tutaenda. Zambia kukalishwa tu
Bring back babu Pluijm
.........

DuuuuhYanga![]()
Zanaco![]()
*Msuva 39'
*Nanihii 77'
.......
Njema sana.....adje?Habar za jioni wakuu
NiajeeeeHabar za jioni wakuu
Safi sana ila tu nina mchoko GB 10, nimetoka safari nowNjema sana.....adje?
Niajeeee
hhahaaaahhhhh na kweli roho tofautiMwiliii mmoja rohooo tofautiii![]()
![]()
![]()
![]()
Mtamkumbuka mzungu wenu na bado mwaka wenu huuNani aliyetuletea hili likocha Jangwani lisilojua kupanga timu wala kufanya sub....kiukweli Yanga ina kikosi kizuri ila kocha ndo tatizo ndio maana morali ipo chini maana wanaona hajui afanyalo
Kwa likocha hili tutaenda. Zambia kukalishwa tu
Bring back babu Pluijm
.........
Yanga![]()
Zanaco![]()
*Msuva 39'
*Nanihii 77'
.......




Matokeo vipi mkuu
mm mtu anaefake namjau mushenga papuchi haitolewi kirahisi tuKama umempenda mwenyewe yeye ata-fake apate papuchi then![]()
TwinHabarini zenu humu ndani wana kapuku!! Nimepita nikaona niwasalimie tuu, ingawa mara ya mwisho hamkunipa hata Maji ya bomba. Muwe na jioni murua
Cc:Shunie