Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Vp leo hatukinukishiNiajeeee
Vp leo hatukinukishiNiajeeee
Karibu sana ahad yetu nadhan bado unaikumbukaHabarini zenu humu ndani wana kapuku!! Nimepita nikaona niwasalimie tuu, ingawa mara ya mwisho hamkunipa hata Maji ya bomba. Muwe na jioni murua
Cc:Shunie
Nambie,Twin
Ahaaaaaaah alikutumiaa mbonaHabarini zenu humu ndani wana kapuku!! Nimepita nikaona niwasalimie tuu, ingawa mara ya mwisho hamkunipa hata Maji ya bomba. Muwe na jioni murua
Cc:Shunie
Kupendwa raha sanamm mtu anaefake namjau mushenga papuchi haitolewi kirahisi tu
Siikumbuki jamaniKaribu sana ahad yetu nadhan bado unaikumbuka
HapanaAhaaaaaaah alikutumiaa mbona
Ile ishu ya Mm, ww na AspirinSiikumbuki jamani
uchoyo gan tena dearNambie,
Za uchoyo
umeanzaAhaaaaaaah alikutumiaa mbona
sana na umpate anaekupendaKupendwa raha sana
Huyoo wa kumpendaa ndo tatizooosana na umpate anaekupenda
pole kama unaona haupendwi ila mioyo siyo ya kuchezea ujueHuyoo wa kumpendaa ndo tatizooo
Ongera yakopole kama unaona haupendwi ila mioyo siyo ya kuchezea ujue
shikamoo mukongo
Pole kaoge, piga diko then angushaSafi sana ila tu nina mchoko GB 10, nimetoka safari now

Uko sahihi kabisa Madenge. Naona umeanza kukomaa sasa.Upo sahihi bado tunatawaliwa na wazungu na kufuata matakwa yao na kila penye vurugu na vuguvugu kuna mkono wa Wamarekani na washirika wao
Kila chaguzi huqeka mkono
......
Nimesha angusha ndio nimekurupuka nowPole kaoge, piga diko then angusha![]()
Malahabashikamoo mukongo
