Makapuku Forum

Makapuku Forum

TANZANIA PEKEE NDIO KUNA ABIRIA AINA SABA.( 7 ).
_________________________________________________

1.Yupo abiria anayemtukana Konda ...lakini kumbe nauli ameacha nyumbani.

2.yupo aliyepitiwa na usingizi...huyu anapokurupuka hajielewi....utasikia shushaaaa bwege wee!..........anashushwa kambi ya jeshi!

3 .Yupo mwingine msumbufu na mvivu halafu ana lawama....huyu anakaa mbali na mlango halafu usishangae akaomba msaada kwenye round about.

4.Yupo aliye makini na Safari..yeye anakwenda na Muda, huyu ukimpitisha kituo gari itajikuta Sumatra Head office.

5.Halafu Yule wa siti ya nyuma yeye hukoroma na tiketi mkononi ...huyu haigwi. ...maana mara nyingi hushukia kituo cha mwisho hata kama ni Makaburini.

6.Yupo asiyeelewa jina la kituo..amekariri panauzwa Mananasi Mengi, sasa akikuta Wameweka Matikiti basi ataenda na gari mpaka gereji.

7.Wa mwisho ni Staff...halipi nauli...huyu yeye hana safari maalum, ni kama anafanya utalii wa ndani, huyu hashuki hata kama ni trip ya Mkaa.

kapuku katika ubora wake
 
c9d715e1351a47fdab79592930d2f081.jpg

Kisiwa cha Croatia muonekano wa juu
Pazuri na pamepangiliwa vizurii
 
Mkuu

Hii arsenal inaaharibu mahusiano yangu na Clkey...

Yaani wakati wanasayansi wakisema tule sukari guru kwa mara 4 kwa week ...

Clkey ananibania kesa Arsenal wamefungwa..
Mkuu pole sana hivi clkey wangu hajakonda kwa presha ,,,,


Sio mbaya yuleeeeeeeee mtuuuuuuu yuleeeeeeee ukamuangaliaa kwa jicho la kidogo



Ndukiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom