Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Yashapitaa mkuuuKingine mtumie Sakayo zile Redbull![]()
Yashapitaa mkuuuKingine mtumie Sakayo zile Redbull![]()
Acha uchokoziiihahahhah ya kukataliwa ndio nyota ya matembele na fakalava inamuhusu pia

Kazi unayooNa kina nanii! Clkey toka juzi simwelewi...sijui ni homa ya game ya arsenal na vile wamepigwa jana..leo kaondoka mapemaa kazini
MmhNoooo!
Paprika wa Mondray bhana! Sema akiona comment yangu tuu anakufa kimoyo moyo..!
Siwezi kumpindua mdogo wangu Mondray...
hahahahhhYashapitaa mkuuu
Transcend alisema na ww et una nyota ya matembeleAcha uchokoziii![]()
![]()
![]()
![]()
Akijaa unamlipia wewehahahahhh
hamna shidaAkijaa unamlipia wewe
Nawe pia mkuu uwe na wakati mwemaJioni njema wakuu
Una utani na clkeyNajua kuhesabu namba 1,2,3,...4,5,6,7..8,9,10
hapo sasa>> vidole vya mikono yangu jumla yake kumi huku 5 na huku 5 jumla yake kumi
poleni sana Ben10 Fc
Sawa madame! Uwe na wakati mwemaHahaa jamani haya nisamehe bure nitapita kama hivi kutoa hi sitapotea tena
Karibu dearHahaa jamani haya nisamehe bure nitapita kama hivi kutoa hi sitapotea tena
Ahsante mkuuNawe pia mkuu uwe na wakati mwema
Hajanitajaaa umesema wewwTranscend alisema na ww et una nyota ya matembele