Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Hapana siifahamu hadhi yake nijuze tafadhaliWao wana nyota ya tembele..ila sio kwamba wanakula Matembele...
Halafu pia unajua hadhi ya matembele? Nadhani hapa umeelewa sasa..
Mama mchunga kuwa mkweli...! OohhHahahaha hapana hajafanya hivyo
Kumbeee! Mbona hiyo post ya juu anakana sasa?Mbonaa alimtaka mapema
Uje nikunong'oneze lingine...kumbe ile ndio sukari guru sasa pm nije kufanya nn tena


HahahahahaUna utani na clkey
Kwani mondray yy yupoje Mbona unampakaziaNamlinda na watu kama mondray
Ila wewe utulie sasa! Sio akija mwanamke mpya hapa makapuku unaruka naye tenaMuuleze nipo na cute girl wangu paprika




Umeletewa wali nyama na wali matembele...?Hapana siifahamu hadhi yake nijuze tafadhali
Nimetulia mkuu wengi hua tuna jokes sanaIla wewe utulie sasa! Sio akija mwanamke mpya hapa makapuku unaruka naye tena
Get settled now!
Hahahaaa! Piga chini...nikupe kifaa kingine kiko jukwaa flani hivi..
Hahahaaa!Nimetulia mkuu wengi hua tuna jokes sana
Who !!!!!!!Hahahaaa! Piga chini...nikupe kifaa kingine kiko jukwaa flani hivi..
ni kweli et sistahili kuwa na ww
Umeletewa wali nyama na wali matembele...?
Which one do you take first?
we ongea hapa hapa au mwambie lee atanifikishia ujumbeUje nikunong'oneze lingine...![]()
mpe tu kwakweli kama yupo tayariHahahaaa! Piga chini...nikupe kifaa kingine kiko jukwaa flani hivi..
Eeeh! Napendaga watu wanaoelewa baada ya mwalimi kutoka darasani..![]()
![]()
![]()
Wali Nyama sababu nimekulia mbugani
Kumbe ndio maana yako hapo nimeelewa
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app