Wapendwa Kapuku Forum Naamini mko salama Mungu anazidi kuwatetea,nawatakia kila la heri wiki hii ,mkumbuke kwamba tumo safarini tunahitaji nguvu Na nguvu hutoka kwa Mungu tumuombe Mungu atupe hekima katika maisha yetu ya kila siku,wale wagonjwa poleni Mungu awaponye,wenye changamoto zozote Mungu aonekane kwenu,Na wale waliotutangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani...Mungu awabariki sana .