Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1902 - Klabu ya Real Madrid yaanzishwa huko katika jiji la Madrid nchini Uhispania.

Ni klabu iliyoanzishwa na Matajiri wa jiji hilo na wapinzani wao wakuu ni Atletico Madrid timu ambayo inasapotiwa na Walalahoi ndani ya Jiji hilo.
 
1975 - Kwa mara ya kwanza video inayoonyesha mauaji ya Rasi John F. Kennedy yaonyeshwa kwenye runinga ya Taifa nchini humo.

Video hiyo maarufu imepewa jina la " Zapruder Film " ilirekodiwa na jamaa mmoja aliyeitwa Zapruder ambaye alikuwa akijrekodia msafara wa Rais kwa matumizi yake kabla ya kujikuta akirekodi tukio muhimu kabisa bila kutegemea.
 
1987 - Kevin Prince Boateng anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Portsmouth, Ac Milan na sasa Las Palmas.

Baba yake ni Mghana na mama yake ni Mjerumani, aliamua kuchezea timu ya taifa ya Ghana ambayo ni asili ya baab yake.

Ndugu yake ni Jerome Boateng anayecheza klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.
 
1972 - Shaquille O'neal anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu katika ligi ya NBA.

Alikuwa na uzito wa kilo 149 mmoja kati ya wachezaji wenye uzito mkubwa kuwahi kucheza NBA.

Anatajwa kama mmoja wa Wachezaji bora wa wakati wote kuwahi kucjeza ligi ya NBA.
 
Leo katika Historia:

1902 - Klabu ya Real Madrid yaanzishwa huko katika jiji la Madrid nchini Uhispania.

Ni klabu iliyoanzishwa na Matajiri wa jiji hilo na wapinzani wao wakuu ni Atletico Madrid timu ambayo inasapotiwa na Walalahoi ndani ya Jiji hilo.
2dfb8988f87be778fb54b2ad4a872e6e.jpg
fdf48a3324adbc7a34daed8068478238.jpg
4a79ed9d029e669e4653c52b484fece7.jpg

Bingwa wa UEFA mara 11
.....
 
1975 - Kwa mara ya kwanza video inayoonyesha mauaji ya Rasi John F. Kennedy yaonyeshwa kwenye runinga ya Taifa nchini humo.

Video hiyo maarufu imepewa jina la " Zapruder Film " ilirekodiwa na jamaa mmoja aliyeitwa Zapruder ambaye alikuwa akijrekodia msafara wa Rais kwa matumizi yake kabla ya kujikuta akirekodi tukio muhimu kabisa bila kutegemea.
1be8a49bb3ea56f7015a21148f8ee427.jpg
76fe58d0ecf0bc0241f5b13ae39aaf91.jpg
c780f91280e8b932db8ed558025b244e.jpg
5781d78ce77124b280707d6388b405fc.jpg
74e00c3c8e699626d091783060c84282.jpg

Bado mauaji ya Sizonje maana ana kauli chafu dhidi za waliomchagua
....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom