Makapuku Forum

Makapuku Forum

JE WAJUA??
Mtu mwenye tabia ya kukosoa Grammar kwenye mazungumzo ya wenzake ana tatizo la OCD.
Cc. Faizafox
af9c561f1b1c27052d8f4c5c6f88e195.jpg
 
Sio kweli
Wapo wengi tu uhuzunika kinafiki...siyo kila kifo cha mtu kinahuzunisha mfano kuna misiba mingi huwa hainiumi na hata kuzika nazika huku moyoni nikiwa na furaha....
.Hivyo hata kifo chako au changu hakiwezi kuhuzunisha wala kuumiza watu wote ndiyo maana kuna usemi wa Kufa kufaana
.....
Well said.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom