denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,953
Bongo ya Dar ya Makonda au mpakani?
Kama ndiyo basi jana kuna magazeti yalienda kusali na mengine hayakwenda kusali.
Thanks sana mkuu nitaikosa support yakoTuwe na Siku njema
Mkuu ntakuwepo usiofu mida yetu ya jioniThanks sana mkuu nitaikosa support yako
BhinamuuuuuMjomba lee empire aksante sana kwa magazeti.
Leo nipo akitivu sana maana si unajua mpwao nategemea internet ya ofisini😀
Thanks bro nakuaminia sanaMkuu ntakuwepo usiofu mida yetu ya jioni
Walahi watamuua na presha huyu mtuSio mbaya tukilipitia gazeti moja kwa Leo..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shemu pole sanaaaWalahi watamuua na presha huyu mtu
Shukrani mkuu.Sio mbaya tukilipitia gazeti moja kwa Leo..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shemela tulia kwanza bwanaShemu pole sanaaa
Sawa mkuu ila tusiquote magazetiShukrani mkuu.
Shiit... Samahani!! Nimevutiwa mpaka nimepitiliza nyumbani.Sawa mkuu ila tusiquote magazeti
Usijali mkuu tunakumbushanaShiit... Samahani!! Nimevutiwa mpaka nimepitiliza nyumbani.
hilo nalo mukongo ni la kuuliza nabusiwa na leeUnabusiwa na nani?
nawe pia, asante kwa magazetiTuwe na Siku njema
Makonda hana chake tena nitamchangia hela ya jembe akalimeUsijali mkuu tunakumbushana