Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,429
- 109,998
Ndio mama mchumbaPole sana ulipata dawa?
Ndio mama mchumbaPole sana ulipata dawa?
LekatutigiteJE WAJUA??
Kigoma ndio mkoa ambao wakazi wake wamejaliwa vpiji vingi vya aina tofauti. Mfano 50% ya mastaa wakubwa wa Muziki Tanzania wanatoka kigoma.
..... Me am excluded
Ma Mchungaji yupo kwenye huduma ya kuvuna nafsi kupeleka kwa Yesu.....we unahitaji masaji asumani yupo!!![emoji3]Asumani yupi tena mm namtaka mama mchungaji
Nani alishinda???[emoji15]JE WAJUA??
MIKE TYSON alitoa dollars 10, 000 kwa mlinzi wa zoo ili amfungulie Gorilla Apigane nae
sawa mama mchungajiIbada itakuapo lakini uende tu ni nafasi ya kumuombea pia
[emoji15] [emoji15]Ndio mama mchumba
hahhhhhhahhhMa Mchungaji yupo kwenye huduma ya kuvuna nafsi kupeleka kwa Yesu.....we unahitaji masaji asumani yupo!!![emoji3]
Sio mimi jamani ni Auto correction ndio imefanya hvyo sikujua kabisa nilikua busy naandika. Sorry Blessed[emoji15] [emoji15]
Hahahaa TysonJE WAJUA??
MIKE TYSON alitoa dollars 10, 000 kwa mlinzi wa zoo ili amfungulie Gorilla Apigane nae
[emoji3]Ndio mama mchumba
Atakua kingkong alimdundaNani alishinda???[emoji15]
Hahaaaahahhahhahh
Owkeyiiiii[emoji3]JE WAJUA??
SETERIOPHOBIA ni ni hali ya kisaikolojia ambayo inamfanya mtu kukataa kutegemea msaada wa watu ili asidharaulike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio mimi jamani ni Auto correction ndio imefanya hvyo sikujua kabisa nilikua busy naandika. Sorry Blessed
Ya madaktari inapoteza hata majina ya dawa ndio maana wagonjwa wanafarikiBOB au
Hahaaha sijaweka badoooMh!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwani kaweka ya nani?
Eti eee sawa ngoja nitaitafutaEka ya ya ya yaaa Bible[emoji3]