Makapuku Forum

Makapuku Forum

Naamini mmeamka salama,Mungu yu mwema kwangu sijambo Namshukuru,wagonjwa wote poleni sana Mungu awape uponyaji,Mkuu Mondray pole naamini unaendelea vizuri utapona,wanaopitia changamoto mbalimbali Mungu awape wepesi,nawatakia Amani,Mafanikio Na Baraka tele siku ya Leo Ijumaa njema...Mbarikiwe
 
Milele aminaaaàa mama mchungaji
 
Naamini mmeamka salama,Mungu yu mwema kwangu sijambo Namshukuru,wagonjwa wote poleni sana Mungu awape uponyaji,Mkuu Mondray pole naamini unaendelea vizuri utapona,wanaopitia changamoto mbalimbali Mungu awape wepesi,nawatakia Amani,Mafanikio Na Baraka tele siku ya Leo Ijumaa njema...Mbarikiwe
Ahsante sana binti ninashukuru kwa maombi na ushauri wako hari yangu sio mbaya sana kama ya jana .. Nawashukuru wote na MUNGU awabariki kazi ya mikono yenu..
Muwe na siku njema
 
Naamini mmeamka salama,Mungu yu mwema kwangu sijambo Namshukuru,wagonjwa wote poleni sana Mungu awape uponyaji,Mkuu Mondray pole naamini unaendelea vizuri utapona,wanaopitia changamoto mbalimbali Mungu awape wepesi,nawatakia Amani,Mafanikio Na Baraka tele siku ya Leo Ijumaa njema...Mbarikiwe
Amen Mama Mchungaji
 
Tafakar ya kirat ;
5ef3b626430a541a006788e3e5164a77.jpg
 
Naamini mmeamka salama,Mungu yu mwema kwangu sijambo Namshukuru,wagonjwa wote poleni sana Mungu awape uponyaji,Mkuu Mondray pole naamini unaendelea vizuri utapona,wanaopitia changamoto mbalimbali Mungu awape wepesi,nawatakia Amani,Mafanikio Na Baraka tele siku ya Leo Ijumaa njema...Mbarikiwe
ubarikiwe na ww mama mchungaji
 
Sad info ...

Katika mchezo wa la Liga BBVA...
Atletico Madrid dhide ya Depotivo.... Fernando Tores aliruka juu kuokoa mpira wa kona na kwa bahati mbaya akagongana na mchezaji wa Depotivo na wakati anatua chini alitanguliza chini sehemu kubwa ya kichwa na kusababisha kumeza ulimi wake...... Shukrani ziwaendee wachezaji waliokuwa karibu na kumuwahi haraka haraka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.

Mpaka Leo asubuhi anaendelea vyema na ame Twitte kuwashukuru wote walio mtumia meseji..... Uwanja ulijawa na simanzi kwa pande zote mbili...... Kweli mpira sio vita.

Get well soon and recover quickly El Niño.
8e9d783229907f8703effd737e113cf1.jpg
 
Kwahiyo huduma ya kwanza huwa ni kumvuta ulimi?
Haya mambo yanatokea sana juzijuzi nimeshuhudia nyingine
.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom