Makapuku Forum

Makapuku Forum

Watu washaliwa 4 nunge...

Afu wale birthday Boy wangu wametia kamamba wote!

Happy birthday Edson cavani

Happy birthday Angel di Maria

Happy valentine PSG!
Paris sent German walianza kukabia juu kabisa ya eneo la Fc Barcelona.... Unapokabwa kuanzia juu kabisa ya eneo lako unakosa muda wa kupanga mashambulizi sambamba na kukosa nafasi ya kuanzisha mashambulizi kuanzia katika back line yako.... Barcelona walianza kufa kuanzia katika mipango ya kuanzisha mipira......

Iniesta, Neymar, Suarez na Mesi hawa ni 4 ambao ni wazuri sana wakati timu inamiliki mpira ila sio wazuri sana with wakati timu inautafuta mpira..... Hapa unaona Cavan pekee ndiye mchezaji ambaye anakuwa freeman wakati wa kukaba.

Kiungo cha Barcelona kinafia kwanza kwenye miguu ya Verate na Rabiot wakati PSG wakiwa na mpira lakini pia kiungo hichohicho cha Barcelona kinafia kwanza tena kwenye mapafu ya Matuid na Rabiot wakati Barcelona wanamiliki mpira....... Hapa wale 4 wa Barcelona ambao ni sio wazuri wakati wa kukaba wanakuwa mzigo kwa mabeki wao watano na kurahisisha mashambulizi katika lango lao Barcelona. Kushambulia kwa kushtukiza kwa haraka zaidi kuliwafanya Barcelona Wengi wakutwe mahala ambapo hawakustahili.

Ili MSN ife basi huna budi kuua kwanza mipango yooote ya kuanzisha mashambulizi kuanzia nyuma (hapa Unai Emery alifanikiwa)...... Ili MSN ife basi ni lazima uzibe mianya yote ya uzawa wa pasi zinazotakiwa kumfikia Eng. Mesi (kama PSG walivyofanya klna kufanikiwa kuziba mianya yote ya pasi zilizokuwa zikielekea kwa mesi...... Ili MSN isifanye kazi basi unahitaji viungo wenye pump yenye horse power kubwa katika defensive na offensive kama Verate, Rabiot na Matuid dhide Iniesta, Bosqute na Gomes....

Unai Leo atalala na suti..... Hichi alichokifanya Leo akiwa na jezi ya Emirate kifuani ndio aina ya vitu PSG walikuwa wanavikosa.... Kumfunga Barcelona unaweza ila goli nne ni anguko la kitaaluma na mbinu za makocha haswaa Unai Emery.

Mipira aliyopiga di Maria ni kama inafanana....magoli aliyoyafunga di Maria ni kama yanafanafa..... Draxler too much pace alafu inafuata poor last touch. Hakukua na namna kwa jinsi Barcelona walivyoshindwa kuwa na plan nyingi nje ya camp Nou...... Hapa Barca walikuwa na

Mipira inapokufa kwa Leonel Mesi basi na Luis Suarez na yeye na nafasi zake hupotea mazima..... Neymar naye akafa na aina yake ya uchezaji ikafa... Ubaya wa MSN ni kama mafiga likifa moja hayo mengine hayafanyi kazi.....

Sory Barcelona Naulizia tu bei ya Yule Rabiot...? anafanya interception, blocking na ana drive timu mbele kwa wakati mmoja, anapokonya sana mipira na Sprint za nguvu......

Paris Sent German 4-0 Fc Barcelona.
 
Bhinamu ongera nilisikia umepewa u-HR kwenye kampuni yenu ya ulinzi mpaka na pc umekabidhiwa wewe ....endelea na ukauzu wako ukiwa rindon

Asante mjombaangu, ninakaimu tu kwa sasa ndo PC pentium 2 ninalimiliki.

Itabidi nikutafute anko twende kwa "fundi" ili aliyenikaimisha aendelee huko jumla. Bado una ile namba ya mganga?
 
Yaani huwa hata sina sababu ila naichukia tu Barca, (inawezekana ni mahaba yangu kwa RMA)
 
Asante mjombaangu, ninakaimu tu kwa sasa ndo PC pentium 2 ninalimiliki.

Itabidi nikutafute anko twende kwa "fundi" ili aliyenikaimisha aendelee huko jumla. Bado una ile namba ya mganga?
Bhinamu wangu kipenzi kuhusu hilo shaka ondoa kabisa ,tena yule kwa kwanza cha mtoto kuna mwingine wa mtaa wa tatu kutoka home kiboko aiseeeeeh bhinamu

Aliyekukaimisha kinachofata ni kumpiga vipapai
 
33de151dfa0f598d7da3a26dffd7f50c.jpg
b4e89a5b3c3449f8da4a0cf0dfbe9124.jpg

33de151dfa0f598d7da3a26dffd7f50c.jpg
b4e89a5b3c3449f8da4a0cf0dfbe9124.jpg
Ederson Santana de Moraes #1

Hii mikono michafu ni hatari sana katika zile save za one against one..... Anasimama golini kama golikipa namba moja mbele ya Julio Cesar.

Ukitaka kuona save za dunia basi jaribu kumuangalia huyu mbrazil wa Benfica ya ureno..... Zile what a save hapa ndipo mahala pake.

Hapa ederson Santana anakutana na Piere Aubameyan Mzee wa kucheza na nyavu.

Haukuwa mchezo wa kukosa kuona save za dunia.....

Benfica 1 - Borussia Dortmund.0
52b050286c7d80d74b0c43a5534b20e0.jpg
 
Paris sent German walianza kukabia juu kabisa ya eneo la Fc Barcelona.... Unapokabwa kuanzia juu kabisa ya eneo lako unakosa muda wa kupanga mashambulizi sambamba na kukosa nafasi ya kuanzisha mashambulizi kuanzia katika back line yako.... Barcelona walianza kufa kuanzia katika mipango ya kuanzisha mipira......

Iniesta, Neymar, Suarez na Mesi hawa ni 4 ambao ni wazuri sana wakati timu inamiliki mpira ila sio wazuri sana with wakati timu inautafuta mpira..... Hapa unaona Cavan pekee ndiye mchezaji ambaye anakuwa freeman wakati wa kukaba.

Kiungo cha Barcelona kinafia kwanza kwenye miguu ya Verate na Rabiot wakati PSG wakiwa na mpira lakini pia kiungo hichohicho cha Barcelona kinafia kwanza tena kwenye mapafu ya Matuid na Rabiot wakati Barcelona wanamiliki mpira....... Hapa wale 4 wa Barcelona ambao ni sio wazuri wakati wa kukaba wanakuwa mzigo kwa mabeki wao watano na kurahisisha mashambulizi katika lango lao Barcelona. Kushambulia kwa kushtukiza kwa haraka zaidi kuliwafanya Barcelona Wengi wakutwe mahala ambapo hawakustahili.

Ili MSN ife basi huna budi kuua kwanza mipango yooote ya kuanzisha mashambulizi kuanzia nyuma (hapa Unai Emery alifanikiwa)...... Ili MSN ife basi ni lazima uzibe mianya yote ya uzawa wa pasi zinazotakiwa kumfikia Eng. Mesi (kama PSG walivyofanya klna kufanikiwa kuziba mianya yote ya pasi zilizokuwa zikielekea kwa mesi...... Ili MSN isifanye kazi basi unahitaji viungo wenye pump yenye horse power kubwa katika defensive na offensive kama Verate, Rabiot na Matuid dhide Iniesta, Bosqute na Gomes....

Unai Leo atalala na suti..... Hichi alichokifanya Leo akiwa na jezi ya Emirate kifuani ndio aina ya vitu PSG walikuwa wanavikosa.... Kumfunga Barcelona unaweza ila goli nne ni anguko la kitaaluma na mbinu za makocha haswaa Unai Emery.

Mipira aliyopiga di Maria ni kama inafanana....magoli aliyoyafunga di Maria ni kama yanafanafa..... Draxler too much pace alafu inafuata poor last touch. Hakukua na namna kwa jinsi Barcelona walivyoshindwa kuwa na plan nyingi nje ya camp Nou...... Hapa Barca walikuwa na

Mipira inapokufa kwa Leonel Mesi basi na Luis Suarez na yeye na nafasi zake hupotea mazima..... Neymar naye akafa na aina yake ya uchezaji ikafa... Ubaya wa MSN ni kama mafiga likifa moja hayo mengine hayafanyi kazi.....

Sory Barcelona Naulizia tu bei ya Yule Rabiot...? anafanya interception, blocking na ana drive timu mbele kwa wakati mmoja, anapokonya sana mipira na Sprint za nguvu......

Paris Sent German 4-0 Fc Barcelona.
Sawa Shafii Dauda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom