Makapuku Forum

Makapuku Forum

7fa684c444c73acb535d728b7d6fd9d7.jpg
 
1988 - Angel Di Maria anazaliwa.

Winga teleza wa Argentina na klabu ya PSG.

Uhamisho wake kutoka Real Madrid kwenda Man Utd haukuzaa matunda baada ya kushindwa kung'aa hali iliyopeleka kuuzwa kwenda PSG baada ya msimu mmoja tu.
Keshatupia goli moja mkuu!

Edson cavani naye naona anakaza ila hayuko makini
 
Watu washaliwa 4 nunge...

Afu wale birthday Boy wangu wametia kamamba wote!


Happy birthday Edson cavani

Happy birthday Angel di Maria


Happy valentine PSG!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom