Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,255
Ngoja niendelee kutoka hapa ulipoishiaLEO KATIKA HISTORIA: 1984:Askari 500,000 wa Jeshi la Iran waliingia nchini Iraq kwa ajili ya mapambano ya kivita. Nchi hizo jirani ziliingia kwenye mgogoro uliodumu kwa miaka minane kuanzia 1980 – 1988.![]()




thanks Musso
aya