Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Wabongo nasi tumezidi. Hata huwezi kuelewa tuachotaka hasa ni nini. Tunalia ajira hakuna kumbe makampuni mengine wameajiri illegals. Watu wenye ties na hayo makampuni wakiitwa kuhojiwa napo makelele. Hakukosea aliyesema kuwa siye tu namba wani kwa unafiki duniani!Haihitaji ht uwe na Masters ya Law
Tumia common sense tu kampuni huwa na
* mmiliki
*mkurugenzi mtendaji
*afisa ajira/mkurugenzi utumisha
N.k
Wao wamekomaa kumtajataja Manji tu {jina linahusika vipi?)
Polifix
........
1989 - James Bond anafariki Dunia.
Alikuwa ni mtaalam wa viumbe hai hasa ndege. Alikuwa ni raia wa Marekani.
Jina lake lilichukuliwa na kuanza kutumika katika mfululizo wa Filamu za Kijasusi zijulikanazo kama James Bond.
Mtunzi wa filamu za James Bond, ndugu Ian Fleming alipenda sana kufatilia kazi za James Bond hasa kwa kutazama Vipindi vyake na kusoma vitabu vyake hasa vinavyohusu Ndege, hali hiyo ilipelekea akalipenda sana Jina la James Bond na kuliomba alitumie katika Filamu zake alizozitunga akianza na ile Casino Royale ya mwaka 1953.
Hivyo mwenye jina la James Bond alikuwa ni mtaalam wa ndege ambapo jina lake likaenda kutumika katika filamu za kijasusi.
we unaonaje
Hivi unaamini lengo lao ni kumuhoji tu?Wabongo nasi tumezidi. Hata huwezi kuelewa tuachotaka hasa ni nini. Tunalia ajira hakuna kumbe makampuni mengine wameajiri illegals. Watu wenye ties na hayo makampuni wakiitwa kuhojiwa napo makelele. Hakukosea aliyesema kuwa siye tu namba wani kwa unafiki!
Moja kwa moja kutoka ChattleWasukuma bwana
..........
Kweli tena nimewaza kukujibu na wewe pia skuona kama inamake sensehahahhah eb acha kunichekesha bwana
ni hivyo hivyo ulivyowaza wala haujakosea mmyKweli tena nimewaza kukujibu na wewe pia skuona kama inamake sense
kweli valentine
Baby ,my loooooveeeee japo tulikuwa wote mda si mrefu nimekumis
MmmmhhhhhHahahaahh shululu mambo unayoyapenda mnataka kuniulia mume presha uko
Za joini shemelamiss u too wii, happy valentine love
Du aisee1946 - Bank Of England yamilikiwa rasmi na Serikali ya Nchi hiyo.
Kabla ya hapo ilikuwa inamilikiwa na kwa hisa na wadau mbalimbali.
Ni Bank kongwe ya pili Duniani ilianzishwa 1694.
Ni shída you tube2005 - Mtandao wa Youtube waanzishwa rasmi huko California Marekani.
Mtandao huo ulibuniwa na Wanafunzi watatu wa chuo.
Ni moja kati ya mitandao mikubwa Duniani inayoongoza kwa kutembelewa na watumiaji wengi.
Mzee hàkuwa na bahati kabisa1951 - Kevin Keegan anazaliwa.
Mchezaji na Kocha wa zamani wa Uingereza, ambaye amezifundisha klabu za Man City, Newcastle mara mbili.
Alikaribia kuchukua ubingwa wa EPL mwaka 1997 akiwa na Newcastle United kabla ya kuzidiwa dakika za Mwisho na Man Utd.