Makapuku Forum

Kweli kabisa
 
Ndo tabu ya kuongozwa na MASKINI
*Mikopo kwa waliosoma private kabana
*Ajira kabana
*Matumizi kabana
Anaonyesha chuki za waziwazi kwa matajiri na watu wa kipato cha kati kwavile yeye kapitia maisha ya kuchunga ng'ombe
...
Nakuelewa sana unachomaanisha!!!
 
Reactions: Lee
Hahhahah halaf una utani mbaya hivi kwa nn wasukuma mpo hivi
Malkia wa Sheba. Pole kama umekwazika. Usiwalaumu Wasukuma wote kwa mapungufu yangu. Napenda sana utani na kucheka. Samahani kama nimevuka mpaka. Happy Valentine Day !!!

Mkuu Lee Empire. Asante sana kwa welewa wako. I will stop now na huu utani; and thanks for the laughs. Love you guys[emoji125][emoji125][emoji125]
 
acha kupanic bwana wote waelewa hapa
 
Yaaah itakuwa yeeh.....unaambiwa maua mwachie Johnson unafikiri..... [emoji125] [emoji125]
Mkuu mwenyewe mzee, mshenga at tme huwa unapoint kuliko nondo za bold ila tujifanye hii weak point

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Noooo plz mbona kama mkuu hujazoea utani wetu humu ,usiwaze vibaya jokes kama kawaida


Au nikuachie kwa mda[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]


Hupati kitu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…