Makapuku Forum

Tundu Lissu kashamjibu kwamba hana mamlaka ya kuhamisha watu ila hofu yangu ni kuwa nchi hii siku hizi haiendeshwi kwa misingi ya kisheria bali kwa maamuzi na matakwa ya mtu binafsi.
 
Hii nchi sijui tunapelekwaje kila mtu mikwara
 
Hahhahah pole sana msukuma
Haki ya nani una bahati Shunie. PM yako isingekuwa blocked sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine. Msukuma huwa sishindwi haya mambo nikiamua na si ajabu sasa hivi ungekuwa unanyonya Margarita ukiwa kwenye heated indoor swimming pool Maryland. Yule mwenye empire angepiga makelele weeee lakini mwishowe angelala. Kutesa kwa zamu ati!


===>Tucheke jamani ili angalau tuongeze siku za kuishi
. Makapukuz foreva and eva!!!
 
Hahahhhh unanitamanisha sijui nibadili gia angani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…