Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Wanasema mapenzi mubashara ,,,Naona upo na shemela![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Uyu bhinamu kanitambulisha kwa shemela nkawazwanga fotooo
Wanasema mapenzi mubashara ,,,Naona upo na shemela![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kweli lknNi wajibu wangu kutake care baby bonge wangu
HahahaahSimtumii huyu![]()
![]()
hiv mlilala sa ngpJameni nauliza tu, saa hizi saa ngapi nataka nilale!?
Nimeshamzoea. Tena ana bahati. PM ingekuwa haijawa blocked angejikuta analia na kusaga meno na wivu wake. Shimba na ushamba wake wa Kisukuma hachezagi akiamua. Sema tu sasa alishastaafu azawaisi ingekuwa patashika nguo kuchanika. Tuwe na amani na Mungu Aendelee kutulinda wapendwa!![]()



Kweli mubasharaWanasema mapenzi mubashara ,,,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Uyu bhinamu kanitambulisha kwa shemela nkawazwanga fotooo
Shemela za wewemorning, hiv ww ni hb kweli![]()
HahahaahKuisbi Bongo yataka moyo maana kila kitu ni Polifix ndio maana jana tumemuona Sizonje K/koo akipigapiga mahoni na kukenua meno kwenye usukani wa mwendokasi km dogo wa chekechea aliyepakizwa kwenye Vitz
....
Cheupe na cheusi

Hahahhhh nilijua tu shululu lazima ujeNaona upo na shemela![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
saf shemela mzima wwShemela za wewe
Mimi mzima, naona ndio unaamkasaf shemela mzima ww
ndio naamka shemelaMimi mzima, naona ndio unaamka
Wanajua wao ,make tuliwaacha bado wapo wanapiga sogaahiv mlilala sa ngp
Hasikuulize menginendio naamka shemela
Asante mama bite kuyapitia ila lile ulipendalo nilikwachia mezaniBaba Bite sante kwa magazeti