Makapuku Forum

Makapuku Forum

hahahhhaa walahi unazidi kufukua niliyokuwa siyajui 🙂🙂
Jirani sijakuua ila hukunambia ukweli ,umenificha weeeee ukweli naambiwa na mwingine iliniumaa nkasema potelea mbali kwa kuwa jiran yamemshinda nimtafutie kapuku mwenzangu ...[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom