![]()
Hill treni litatumia Power bank?
Nchi hii bhana kwa umeme huu wa kimagumashi ni ndoto tu
......
mwandishi kanjanjaDar - Moro🙂😉 sikujua kama Ethipia wana mikoa yenye majina haya!![]()
Hill treni litatumia Powerbank?
Nchi hii bhana kwa umeme huu wa kimagumashi ni ndoto tu
......
Bhinamu unaota au ndo umezindukaDar - Moro🙂😉 sikujua kama Ethipia wana mikoa yenye majina haya!
Morning mtzmorning kupukus
NipoTRA utafikiri watu wamelala ofisi za TRAPamojaaa kugufurika kama kawaida
Nchi hii inavichekesho sana![]()
Hill treni litatumia Powerbank?
Nchi hii bhana kwa umeme huu wa kimagumashi ni ndoto tu
......
Shukrani mkuu tuko pamojaMalkia kama kawaida yake![]()
![]()
Umeme upo wa aina nyingi labda wanamaainisha zitatumia Umeme wa maweseNchi hii inavichekesho sana
Kuisbi Bongo yataka moyo maana kila kitu ni Polifix ndio maana jana tumemuona Sizonje K/koo akipigapiga mahoni na kukenua meno kwenye usukani wa mwendokasi km dogo wa chekechea aliyepakizwa kwenye VitzDar - Moro🙂😉 sikujua kama Ethipia wana mikoa yenye majina haya!
Poa Poa mkuu Leta HabariMambo vipi humuu
Mkuu ulizembea kuhakiki na wewe ??NipoTRA utafikiri watu wamelala ofisi za TRA
Harakati za mtu mweusi nafikiri unazijuaMkuu ulizembea kuhakiki na wewe ??
Nazijua mkuuHarakati za mtu mweusi nafikiri unazijua