shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Weka pichaHahahhhh ntajichubua kwa jiki si kwa weusi huu
Weka pichaHahahhhh ntajichubua kwa jiki si kwa weusi huu
mwambie lee akutumie [emoji23]Weka picha
HahahhhhNg'ombe 40 zinatoka hivi hivi
Zamani sawa. Siku hizi ng'ombe 40 nani anazo?Ng'ombe 40 zinatoka hivi hivi
Lee [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]mwambie lee akutumie [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, isije ikawa ni kweli uko serious. Shunie njoo huku. Nataka kuuliwa kisa tu nimekutaja kwenye comment!
Ni wajibu wangu kutake care baby bonge wanguHahahhhh lee ana wivu mzoee tu
Simtumii huyu [emoji4] [emoji4]mwambie lee akutumie [emoji23]
Hupatiii mkuu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Lee [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
Bhinamu umeamka poa ? Dakika chache yanakufikia
Morning Hb..morning Family
Bhinamu umeamka poa ? Dakika chache yanakufikia
Najua bhinamu ,ebu kwanza kula vionjoo alafu mida utayakuta yote kuna mengine sijayapataNdo nataka kulala sasa, si unajua tena zamu yangu kuwa sungusungu hivyo narudi kulala
Nimeshamzoea. Tena ana bahati. PM ingekuwa haijawa blocked angejikuta analia na kusaga meno na wivu wake. Shimba na ushamba wake wa Kisukuma hachezagi akiamua. Sema tu sasa alishastaafu azawaisi ingekuwa patashika nguo kuchanika. Tuwe na amani na Mungu Aendelee kutulinda wapendwa!Hahahhhh lee ana wivu mzoee tu