Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Pappaa nilipotea kidogo na kisafari ila naona uliniwakilisha vyema [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kupenda unakusikia kwenye redio nini?.....ungejua!
Pappaa nilipotea kidogo na kisafari ila naona uliniwakilisha vyema [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kupenda unakusikia kwenye redio nini?.....ungejua!
Pamojaaa sana jembe letu uku na kapuku Siku hizi acha tujidai kidogo ....Ila kazi muhimuAsante sana mdau lee empire kwa magazeti, unaifanya siku iwe njema sana na kuondoa dhana nzima ya kuwa Makapuku hatusomi magazeti
🙂
Za asubuhi Makapuku wenzangu
Poa poa......naona upooKijana, mambo!
Asante kwa magazeti mkuu LeeMorning wakùu ...tukayapitie magazeti kwa udhamini mnono wa mkuu Obe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nawe pia mkuu LeeMichezo na burudani kwa udhamini mkuu wa shululu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tuwe na Siku njema wakuu
YaaahPoa poa......naona upoo
[emoji3]Bwanaaaabwanaaaaaah
[emoji106] [emoji109]Pappaa nilipotea kidogo na kisafari ila naona uliniwakilisha vyema [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Asantee mkuu shululu japo jana niliona nilitafutwa [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Nawe pia mkuu Lee