Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Yaaa niko poa namshukuru AllahUko poa?
Hapo sasaha ha alijibuje na ww ulivyoulizwa je
Shunie wangu finally umerudi...welcome majibu nilijibu mpaka mukongo akapiga makofiha ha alijibuje na ww ulivyoulizwa je
ha hahhhAsantee mkuu shululu japo jana niliona nilitafutwa![]()
![]()
![]()
![]()
Vizuri sana,tunalisongesha makapukuYaaa niko poa namshukuru Allah
ata maji hamnaAhaaaaaah sema nashukuru hujanipiga majungu japo mimi huwa nakupiga majungu ...ila kikao chenu cha jana sijui mlipata ata karanga za kutafuna![]()
![]()
![]()
![]()
Ulitumwa uingieYani acha tu, kila nikiingia humu chitchat nakuta thread hii inatembeaa mbayaa.
Afu hao wachanguaji sasa, yaani wahuni wahuni flani hivii.
Michango imekaa kitoto, inaboa, inakeraa.
Mods ondoa bhana hii thread, aagrrrhrriihh!!
Nitaua mtu aisee.
Nilikutafuta sanaTaarifa za kutafutwa nilizipata![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
HahhaahhhShunie wangu finally umerudi...welcome majibu nilijibu mpaka mukongo akapiga makofi
hapana chezea kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
hapana chezea sisi
Morning shululuShunie morning
Jaman mukongo sio wa kunifanyia ivo ...shululu ata furusana hajakupa ??ata maji hamna
Nashukuru sana japo na wewe unanikimbia nakumis mpaka bhasiNilikutafuta sana
Acha tu Mambo Mambo lkn nitarudiNashukuru sana japo na wewe unanikimbia nakumis mpaka bhasi
Hahahahah wote hao hawajanipa kituJaman mukongo sio wa kunifanyia ivo ...shululu ata furusana hajakupa ??
Obama was so emotionally! It sometimes happen...being a Hero among the millionsMwaobama
View attachment 461547