shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mimi afrcon ipo kushoto kabisa, sijaangalia hata mechi moja aiseeCameroon siku hizi simjui hata mchezaji wao mmoja kikosini. Maisha yapo kasi sana
Mimi afrcon ipo kushoto kabisa, sijaangalia hata mechi moja aiseeCameroon siku hizi simjui hata mchezaji wao mmoja kikosini. Maisha yapo kasi sana
Mimi masubiria nusu fainal ndio nitazameMimi afrcon ipo kushoto kabisa, sijaangalia hata mechi moja aisee
Alikuwa amejaza kijeba flani hiviMi namkumbuka Ndiefi sura mbaya
![]()
![]()
![]()
.......
Yaan hii haina mvuto ata kidogoMimi afrcon ipo kushoto kabisa, sijaangalia hata mechi moja aisee
Bhasiii tulia ngoja kamati ya maandalizi ijee najua hujapata kinywaji ,,,shululu atahusika alafu bili yote mukongo muntu ya mielaa anamaliza uku mimi director nimekunja 4 na wewe

Bitoz katika ubora wakooo![]()
Tukutane asubuhi
Usiku mwema
....,..
Kumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chakeKumekucha salama kapuku ...
Asante kwa magazeti ya leo mkuu LeeUdaku kwa udhamini mnono wa Queen Kan![]()
![]()
![]()
![]()
Asanteni tuwe na Siku njema
Pamojaaa shoka languAsante kwa magazeti ya leo mkuu Lee
Sura ya kazi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
......