Makapuku Forum

Makapuku Forum

2017 TUNAOMBA SERIKALI ISIMAMIE YAFWATAYO:
1.mimba zipunguzwe miez badala ya 9 ziwe mi4

2.nauli ya ndege kwenda south africa iwe bure coz ni mteremko

3.sukuma wiki ichunguzwe kwa nn haiwez sukuma mwez au mwaka

4.siku za mwiz walau ziwe 90 sababu uchum umekua mgumu

5.viroba vishushwe bei viuzwe mia mbili

6.chumvi iuzwe bei ya sukari na sukari iuzwe bei ya chumvi

7.pombe ijazwe chupa.....hii tabia ya kuacha nafasi kidogo ni kutuibia

8.donati lisiwe na shimo katikati....la kazi gani?

9.vocha za buku ziuzwe 900 tupate mia za kukwangulia

10.tujenge vibanda vya chips bata tumechoka kuku........

*Nawaza tu kapuku sina hili wala lile*
 
b8ffe996a8e739317e4484fbb10b8052.jpg
 
Kweli ubunifu ni muhimu kwenye hii awamu. Sera ya kila mtu ataubeba msalaba wake haina huruma na mtu ukizubaa unakufa njaa na familia yako. Karibu nchi nzima hakuna mvua. Ngoja tuone tutakavyobeba misalaba yetu

Badala ya kukazania viwanda tungekazania kwanza mapinduzi ya kilimo. Our priorities are kind of misplaced
Acha nichimbe mabwawa ya kisasa nije kuwauzia maji ya kilimo wakati wa hari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom