Makapuku Forum

Makapuku Forum

Acha nichimbe mabwawa ya kisasa nije kuwauzia maji ya kilimo wakati wa hari
Utasaidia wengi lakini pia usishangae ukifanyiwa figisu figisu hasa kama siyo memba wa ile power cartel. Inabidi pia ufanye market analysis nzuri kwa sababu sidhani kama mkulima wa kawaida ana uwezo wa kununua maji ya kumwagilia. Pengine itabidi ukopeshe!
 
IMG-20170109-WA0013.jpg
 
M

Mkuu shimba, mara nyingin

Mkuu ninashindwa kuelewa kwanini wananchi ni maskini ilhali tuna maji mengi na ardhi nzuri sana hususani mbeya, iringa, moro, arusha na klm.
Niko Arusha kwa sasa, kinachoshangaza ni watu wachache sana wanafaidi rutuba na maji kwani wanayatumia 24hrs, siku 7 za wiki na 12months. Hasa wale wa ukanda wa mlima meru. Zaidi walowezi wa kizungu wanafaidi zaidi kwa kuchukua maji kwenye mito, na vyanzo vya maji kwa kulima maua na kuuza ulaya tena wanaajiri watu wengi kwa ujira haba kabisa.
Najiuliza sisi tumeshindwa nini kutumia mito au hata kuvuna maji ya mvua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom