shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
MhhhhhhWamevuna walichokipanda bora wapungue hawa
MhhhhhhWamevuna walichokipanda bora wapungue hawa
Noted. With respect!Ni shushushu na sio shululu
Sio matikitiki maji, maana ulishauriwa na pole poleNipo kijijini nalima viazi ndo maana sitokeitokei
.....

Madenge unahangaika! Mara Faru ya Buyenze? Mara Wasukuma. Kulikoni?Mleta picha sio Shululu
Wasukuma bhana mnakariri majina
![]()
![]()
![]()
.....
GikoNoted. With respect!
Buyenze ni nini mkuuMadenge umeanza. Faru atakuwaje na buyenze?By the way za kupotea? Happy New Year...![]()
HahahaaSio matikitiki maji, maana ulishauriwa na pole pole![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Usanii wako tu wewe huwezi lima viazi labda utume pesa ulimiweNipo kijijini nalima viazi ndo maana sitokeitokei
.....
Quigley hili ni tatizo la mfumo wetu wa Elimu, tunafundishwa kuajiliwa tu nasi kujiajiliM
Mkuu shimba, mara nyingin
Mkuu ninashindwa kuelewa kwanini wananchi ni maskini ilhali tuna maji mengi na ardhi nzuri sana hususani mbeya, iringa, moro, arusha na klm.
Niko Arusha kwa sasa, kinachoshangaza ni watu wachache sana wanafaidi rutuba na maji kwani wanayatumia 24hrs, siku 7 za wiki na 12months. Hasa wale wa ukanda wa mlima meru. Zaidi walowezi wa kizungu wanafaidi zaidi kwa kuchukua maji kwenye mito, na vyanzo vya maji kwa kulima maua na kuuza ulaya tena wanaajiri watu wengi kwa ujira haba kabisa.
Najiuliza sisi tumeshindwa nini kutumia mito au hata kuvuna maji ya mvua?
Nimeshiba viazi kwa mtindi sasa nafanya fujo km ng'ombe zenu UsukumaniMadenge unahangaika! Mara Faru ya Buyenze? Mara Wasukuma. Kulikoni?
Anakuwaga na mzio na wasukuma, we jisogeze uote manunduMadenge unahangaika! Mara Faru ya Buyenze? Mara Wasukuma. Kulikoni?
Huo utumwa nimeukataa kwa hiari miaka 8 iliyopitaQuigley hili ni tatizo la mfumo wetu wa Elimu, tunafundishwa kuajiliwa tu nasi kujiajili
Lazima tubadilikeQuigley hili ni tatizo la mfumo wetu wa Elimu, tunafundishwa kuajiliwa tu nasi kujiajili
Inaelekea umetumia mtindi kweli, vyakula vyenye protini huleta hisiaNahisi ni Bunyege
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Mimi ni tozy wa kupiga pamba tu na sio kufanya kaziUsanii wako tu wewe huwezi lima viazi labda utume pesa ulimiwe
Nahitaji mapapai ya jumlaMimi ni tozy wa kupiga pamba tu na sio kufanya kazi
Naendesha kilimo cha mapapai pia
![]()
![]()
![]()
........
Ni kweli. Kwa hali ya Tanzania ilivyo hatupaswi kuwa na njaa. Nimepitia California huku wana ukame wa miaka 10+ lakini huwezi kujua na hata bila msaada wa majimbo mengine wanaweza hata kujilisha wenyewe. Wakulima wakubwa 50 hivi wanaweza kulisha jimbo mamilioni ya watu na kila kitu ni irrigation. Wamechimba visima virefu na kujenga mabwawa makubwa makubwa. Sasa mvua zinanyesha na maji haya yanavunwa na kuhifadhiwa.M
Mkuu shimba, mara nyingin
Mkuu ninashindwa kuelewa kwanini wananchi ni maskini ilhali tuna maji mengi na ardhi nzuri sana hususani mbeya, iringa, moro, arusha na klm.
Niko Arusha kwa sasa, kinachoshangaza ni watu wachache sana wanafaidi rutuba na maji kwani wanayatumia 24hrs, siku 7 za wiki na 12months. Hasa wale wa ukanda wa mlima meru. Zaidi walowezi wa kizungu wanafaidi zaidi kwa kuchukua maji kwenye mito, na vyanzo vya maji kwa kulima maua na kuuza ulaya tena wanaajiri watu wengi kwa ujira haba kabisa.
Najiuliza sisi tumeshindwa nini kutumia mito au hata kuvuna maji ya mvua?
Ni zile sharubuNahisi ni Bunyege
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Ni muhimu sana, wengi bado hawajitambuiLazima tubadilike