shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Yeye atakuwa na kibariWamekataza kumzungumzia Faru John
Yeye atakuwa na kibariWamekataza kumzungumzia Faru John
Sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
yuko makini
Huku raha sana yaani fulu kujiachia as long as haumkelii mtu yeyote.Hapa ni ukumbi wa masela....kuna wasomi,wajasiriamali n.k ila kwavile ni Chit chat tunajimwaga kisela sasa mazoba wanafikiri sisi ni madogo wa Sekondari
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa hapa upo huru kurukaruka
.......
Umenena vyema mkuuKaribu, hapa ni swaga kwa kwenda mbele, tena za kijanja, toa like upate like
Pia usi quote post za Jana, kila siku tunaanza upya
Asante mkuu kwa kutambua hiloHapi nyu yia makapuku mmedumu sana
Alaa kumbeYeye atakuwa na kibari
Hawatupendi kinomaa ...sema ata mimi mwanzon nilikua naogopa kuingia huku ila mlivonipokeaa mpaka majukwa mengine nshasahau
YupoNimeona kuna aliyefungua mwaka kwa kupitiwa na panga la mkuu
kwaiyo niwe naposti vitu gani ili niende sawa na nyinyiKaribu, hapa ni swaga kwa kwenda mbele, tena za kijanja, toa like upate like
Pia usi quote post za Jana, kila siku tunaanza upya
Kasome page no1 mpaka no 3kwaiyo niwe naposti vitu gani ili niende sawa na nyinyi
nazipatajeKasome page no1 mpaka no 3
Zipo kwenye jukwaa hili hilinazipataje